Yahusu kupiga search suruali pale unaponasa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Pasaka na eid wake zimepita kibabe na kutuachia majeraha mifukoni kila unayethubutu kumpiga kizinga anakutolea nje visingizio vikiwa ni ada,kuumwa na mvua.

Bado una nafasi ebu nenda kafanye ukaguzi kwenye mikoba na mabegi na nguo zako huenda ukabahatika Kama ambavyo mimi leo Mungu hajanitupa mja wake.Ripota wa mchongo nimefanikiwa kuikuta sh.7000 live katika suruali mbili haya mjanja hapo mimi Nina pa kuanzia katika weekend hii ngumu kuliko.
 

Attachments

  • 96D1E991-802B-489F-A538-E51B8773866A.jpeg
    1 MB · Views: 1
Kuna watu wali angiza ndafu mapande kadhaa, Leo nawaona Wana henyeka sio mchezo🤓
Kuna jamaa yangu siku moja before eid nilimuotea kiwanja yuko vizuri akawa hataki tunywe kitu kingine isipokuwa Guinness akawa anazishusha kreti jana naona text ananitoka 5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…