ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Pasaka na eid wake zimepita kibabe na kutuachia majeraha mifukoni kila unayethubutu kumpiga kizinga anakutolea nje visingizio vikiwa ni ada,kuumwa na mvua.
Bado una nafasi ebu nenda kafanye ukaguzi kwenye mikoba na mabegi na nguo zako huenda ukabahatika Kama ambavyo mimi leo Mungu hajanitupa mja wake.Ripota wa mchongo nimefanikiwa kuikuta sh.7000 live katika suruali mbili haya mjanja hapo mimi Nina pa kuanzia katika weekend hii ngumu kuliko.