Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

Nachojiuliza Hamas wanapata wapi silaha za kuhimili vita muda wote huo, hizo silaha zinaingiaje ikiwa Gaza yote imezungukwa, hii vita sasa inachosha sasa wakae tu mezani busara itumike.
Hakuna busara dhidi ya magaidi.
Ni kipigo kwa kwenda mbele
 
Mungu(Allah) atakablie dua yako ya kejeli kwa Hamas
Kwa nn ya kejeli?
Mungu(Allah) atakablie dua yako ya kejeli kwa Hamas
Unanikosea webabu,sio kejeli... Israel hatoboi hii vita. Atakimbia mwenyew Gaza. Allah yupo upande wa Hamas kila wanachofanya wanamsifu Allah hata walipokuwa wanamuuwa Mtanzania Joshua walikuwa wanamtukuza Allah hata walipokuwa wanarusha yale makombora Israel elfu 5 walirusha kwa jina la Allah
 

Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
Sasa Israel anasaidia na nchi zote kubwa lakini unaenda mwaka hajadhibiti mji
We Jamaa bhana hujui kwa nn hajadhibiti mji? Hemu waambieni Hamas watoke nyuma ya makalio ya wake zao na watoto. Waambieni wajitenge waende kwenye kambi za kijeshi kama wanazo halafu msikilizie masaa mawili tu kama kutakuwa ha Hamas gaza
 
Ndio propaganda zenu wafia dini Ismail haniyeh, mohamed Deif ni mwanamke au ni watoto wameuawa
Hahaha! Hata mm huwa sielewi kabsa sijawahi kuona wala kusikia Al Jazeera kuwa Israel( Idf) imeuwa hata Hamas wanne kwa mkupuo huko Gaza. Yaani nasikiaga wanawake na watoto kila siku
 
Hili nalo halihitaji hata elimu ya darasa la saba kulitambua.
 
Nikuambie kitu? Hemu wasaidie Israel kuwaonyesha kambi za kijeshi za Hamas zilipo ili hii vita iishe ndani ya masaa mawil tu. Tumechoka kusikia habari za kufa wanawake na watoto....! Unakumbuka siku wanaokolewa mateka wanne wa Israel walikufa Wapalestina 100*? Je hao mateka walikuwa wameshikiliwa na wanawake na watoto au miongoni mwao walikuemo na Hamas?
 
Kwahiyo hawajui mateka wapo wapi! Si mnawasifia kwamba wao ndiyo mabingwa wa ujasusi na hao Hamas wapo wengi kiasi gani hadi wanashindwa kuwaangamiza kwa mwaka mzima huku wakijinadi kudhibiti mipaka yote na kudhibiti kila kinachoingia na kutoka Gaza eneo ambalo linalingana ukubwa na wilaya ya Ilala! Acheni kuwakuza hawana lolote,hivi ingelikuwa Hamas wana silaha kama walizonazo wao ingekuwaje.
 
Hutaki tu kuelewa! Kwa sababu unazozijua wew. Tofautisha combat war na huo upuuzi unaoendelea gaza. Labda nikupe mfano vita ya Marekani na Iraq combat war ilipiganwa siku 21 tuuu...wanajeshi wa Marekani wakawa wamefka kila sehemu hadi Ikulu ya Saddam Hussein. Baada ya hapo hakuna askari wa Iraq aliyeonekana mtaani kavaa combat ilikuwa mwendo wa suicide bombs,road side bombs etc na ndo kipindy askari wa Marekani wamekufa wengi kuliko wakati wa combat war....! Waambie tu hamas watoke kwenye mashule na hospitals na kwenye kambi za wakimbizi...hakuhakikishia vita haimalizi masaa 24
 
SINAWAR sijui anaishi wapi na anakula wapi?? Netenyahu linamsaka limuue limekaa pale muda wote huo wala halimuoni
Huoni yuko ofisini hapo wanajua alipo.kujua mtu alipo na kumuua ni vitu viwili tofauti
 
Nimekusoma mkuuu😅🤣🤣🤣
 
Kama ni hivyo basi sote tuseme Amiin
 
Hahaha! Hata mm huwa sielewi kabsa sijawahi kuona wala kusikia Al Jazeera kuwa Israel( Idf) imeuwa hata Hamas wanne kwa mkupuo huko Gaza. Yaani nasikiaga wanawake na watoto kila siku
Aljazeera naamini hawajui.Kama wewe unawajua kawaoneshe walipo
 
Tulia magaidi mshughulikiwe. Umesikia kipigo cha juzi hapo Syria?!
 
Tulia magaidi mshughulikiwe. Umesikia kipigo cha juzi hapo Syria?!
Hao mnaoita mashoga wanawapelekea moto mbaya kabisa
 
Kumbe hiyo mbinu ilileta faida sana kwa wairaq mpaka mmarekani akajuta kuingia kichwa kichwa.
Sawa kwanini hupendi mbinu kama hizo wazitumie Hamas au kutumia mbinu mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…