Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hakuna busara dhidi ya magaidi.Nachojiuliza Hamas wanapata wapi silaha za kuhimili vita muda wote huo, hizo silaha zinaingiaje ikiwa Gaza yote imezungukwa, hii vita sasa inachosha sasa wakae tu mezani busara itumike.
Ni kipigo kwa kwenda mbele