Acha kupotosha.Hivi vita israel hapigani na hamas tu anapigana Iran, hezbollah, syria, houth, magaidi wa Iraq
Hayo unayodai ya Hamas kutumia miundombinu ya kiraia Israel aliambiwa athibitishe ICJ akakosa ushahidi.Hii vita imechukua muda mrefu kwa sababu israel anachangiwa na magaidi wote wa middle east kama hezbollah, houth, syria, houth na baba yao iran na zaidi magaidi wanavaa kiraia na kutumia miundombinu ya kiraia kama hospitali, misikiti shule na kusababisha israel ipigiwe kelele dunia inaua raia
Hao wameuliwa kwa mlengwa tofauti.Ndio propaganda zenu wafia dini Ismail haniyeh, mohamed Deif ni mwanamke au ni watoto wameuawa
Hamas wamekua wakikutana na IDF mitaani na kupigana nao street battles ila IDF wamewashindwa.We Jamaa bhana hujui kwa nn hajadhibiti mji? Hemu waambieni Hamas watoke nyuma ya makalio ya wake zao na watoto. Waambieni wajitenge waende kwenye kambi za kijeshi kama wanazo halafu msikilizie masaa mawili tu kama kutakuwa ha Hamas gaza
Hili nalo halihitaji hata elimu ya darasa la saba kulitambua.
Huko mtaani hamas wamevaa uniform au wamevaa kiraia ? Mnajua hizi stori mnazodanganyana huko masjidi hamas wakipigwa ni stori za kulia lia na kulalamika wanawake na watoto ila ila hamas wakiua au kumshambulia raia wa israel na kuwateka hamas ni mashujaa allah anawasaidiaHamas wamekua wakikutana na IDF mitaani na kupigana nao street battles ila IDF wamewashindwa.
Hiko kisingizio cha kujificha nyuma ya raia wazungu wenyewe wamethibitisha ni uongo.
Hivi unajua Hamas imetia askari elfu 70 wa IDF ulemavu!?
Sasa nambie hao wamefikiwa vipi kama Hamas wanajificha nyuma ya raia??
Unapoleta mambo ya Hamas kuchukua watu kama mateka unarudisha chanzo cha vita nyuma.Huko mtaani hamas wamevaa uniform au wamevaa kiraia ? Mnajua hizi stori mnazodanganyana huko masjidi hamas wakipigwa ni stori za kulia lia na kulalamika wanawake na watoto ila ila hamas wakiua au kumshambulia raia wa israel na kuwateka hamas ni mashujaa allah anawasaidia