Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

Hivi vita israel hapigani na hamas tu anapigana Iran, hezbollah, syria, houth, magaidi wa Iraq
Acha kupotosha.
Iran hausiki wala Iraq hausiki.
Na hao Hizbollah na Houthi waliingilia walipoona USA na UK wametuma msaada wa kijeshi Israel.
Na wao wakaona hapana haiwezekaniki muingilie na sisi tumuache Hamas peke yake.
Kama una uhakika na unachoongea lete ushahidi.
Houthi kazi yake kuzuia meli za misaada ya silaha na mizigo kwenda Israel.
Hizbollah kazi yake kumdhoofisha na kumchanganya Israel kwa kumshambulia Kaskazini ili kupunguza makali Gaza.
Na hilo limefanikiwa.
 
Hii vita imechukua muda mrefu kwa sababu israel anachangiwa na magaidi wote wa middle east kama hezbollah, houth, syria, houth na baba yao iran na zaidi magaidi wanavaa kiraia na kutumia miundombinu ya kiraia kama hospitali, misikiti shule na kusababisha israel ipigiwe kelele dunia inaua raia
Hayo unayodai ya Hamas kutumia miundombinu ya kiraia Israel aliambiwa athibitishe ICJ akakosa ushahidi.
Sasa wewe tuambie huo ushahidi umeutoa wapi!??
 
Ndio propaganda zenu wafia dini Ismail haniyeh, mohamed Deif ni mwanamke au ni watoto wameuawa
Hao wameuliwa kwa mlengwa tofauti.
Na wala hawakufa karibia na raia.
Embu uache kupotosha we mla nguruwe.
 
We Jamaa bhana hujui kwa nn hajadhibiti mji? Hemu waambieni Hamas watoke nyuma ya makalio ya wake zao na watoto. Waambieni wajitenge waende kwenye kambi za kijeshi kama wanazo halafu msikilizie masaa mawili tu kama kutakuwa ha Hamas gaza
Hamas wamekua wakikutana na IDF mitaani na kupigana nao street battles ila IDF wamewashindwa.
Hiko kisingizio cha kujificha nyuma ya raia wazungu wenyewe wamethibitisha ni uongo.
Hivi unajua Hamas imetia askari elfu 70 wa IDF ulemavu!?
Sasa nambie hao wamefikiwa vipi kama Hamas wanajificha nyuma ya raia??
 
Hili nalo halihitaji hata elimu ya darasa la saba kulitambua.
Hamas wamekua wakikutana na IDF mitaani na kupigana nao street battles ila IDF wamewashindwa.
Hiko kisingizio cha kujificha nyuma ya raia wazungu wenyewe wamethibitisha ni uongo.
Hivi unajua Hamas imetia askari elfu 70 wa IDF ulemavu!?
Sasa nambie hao wamefikiwa vipi kama Hamas wanajificha nyuma ya raia??
Huko mtaani hamas wamevaa uniform au wamevaa kiraia ? Mnajua hizi stori mnazodanganyana huko masjidi hamas wakipigwa ni stori za kulia lia na kulalamika wanawake na watoto ila ila hamas wakiua au kumshambulia raia wa israel na kuwateka hamas ni mashujaa allah anawasaidia
 
Unapoleta mambo ya Hamas kuchukua watu kama mateka unarudisha chanzo cha vita nyuma.
Huko unarudi nyuma sana.

Hamas lazima uwakute wamebeba RPG ama AK47 begani.
Hata video zao zinaoneshwa wakiwa wamebeba silaha.
Pia hayo maeneo yanayolipuliwa wakidai kuna Hamas hukuti hata punje ya risasi.
Usisahau kama Israel iliua raia wake wawili walokua wameonesha ishara ya msaada kwa kutofuata taratibu za ufyatuaji.
 
Hamas inatumia njia kadhaa kuingiza silaha licha ya kuwa eneo la Gaza linazungukwa na Israel:

1. Mifereji ya chini ya ardhi (Tunnels): Hamas imejenga mtandao wa chini ya ardhi ambao unaunganisha Gaza na Misri. Ingawa Misri imejaribu kufunga baadhi ya tuneli hizi, zinaendelea kutumika kwa usafirishaji wa silaha na vifaa vingine.

2. Bahari: Wakati mwingine silaha huingizwa kupitia bahari kwa kutumia boti ndogo zinazojaribu kuepuka doria za jeshi la majini la Israel.

3. Teknolojia ya ndani: Hamas pia imeanza kujenga silaha zake kama vile maroketi na vifaa vya mlipuko ndani ya Gaza, wakitumia malighafi zinazopatikana kwenye eneo hilo.

Israel imeweka kizuizi kikali ili kuzuia uingizaji wa silaha, lakini njia hizi zimewapa Hamas uwezo wa kuendelea kujihami.
 
Back
Top Bottom