Ule mwingine ulioanzishwa na Uzalendo wa Kitanzania una makosa. Umemtaja Mohamed Ismail kama kiongozi. Manukau "Hamas imemchagua Mohammed Ismail Darwish kuwa kiongozi wake mpya. Hii inafuatia kuuawa kwa kiongozi wa zamani wa kisiasa wa kundi hilo, Ismail Haniyeh, huko Tehran, wiki moja iliyopita."Mods unganisheni huu uzi
Comment of the dayAsante kwa picha yake tumemwona na tutumie fursa hii kuona sura ya mwisho. Buriani sinwar.
Bodyguard wa haniyer alikuwa anafanya nini saa 8 usiku kwenye chumba cha Haniyer ?MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.
Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji ya October 7, 2023 huko Israel Kusini, na kusababisha vita ambavyo mpaka sasa Wapalestina zaidi ya 38,000 kufariki na Wayahudi wapatao 1,200 kuuliwa. Bila kusahau Watanzania 2 pia wamekufa kwenye mgogoro huo
View attachment 3063369
Ukute walikuwa wanapakuana na HaniyaBodyguard wa haniyer alikuwa anafanya nini saa 8 usiku kwenye chumba cha Haniyer ?
Tumpe siku ngapMODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.
Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji ya October 7, 2023 huko Israel Kusini, na kusababisha vita ambavyo mpaka sasa Wapalestina zaidi ya 38,000 kufariki na Wayahudi wapatao 1,200 kuuliwa. Bila kusahau Watanzania 2 pia wamekufa kwenye mgogoro huo
View attachment 3063369
Hapo sasa maana jamaa ana ishia mapangoni kama panya bukuSasa vikao atakuwa anafanyia wapi?