OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Sisi Simba tutamuwahi kabla yeye hajatuwahiHuyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini
Angemuua kabisaHuyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini.
My regards to Mercy.Sisi Simba tutamuwahi kabla yeye hajatuwahi
Duh ππππ Mercy yupo MkuuMy regards to Mercy.
tutacheza nae hivyohivyo alivyofanya subiri tuHuyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini.
Naenda kaskazini, nipe numeraly nimtafuteDuh ππππ Mercy yupo Mkuu
Over my dead body kakaNaenda kaskazini, nipe numeraly nimtafute
Naitunza comment hii.....Cry more br,
Cry today, tomorrow and everyday
We are Azam Fc π€π
Ukitaka mchezo rahisi kacheze rede au draft π
Wew bana kama umeanza kushabikia mpira leo,Naitunza comment hii.....
Unadhani kufanya rafu na kuwachezea vibaya wachezaji wenzako ni sifa???!!!! Hata kidogo.....Unadhani huyo Zayd alichowafanyia wachezaji wa Yanga kwa kuwaumiza unadhani ana raha??? What goes around comes around....Huyo Zayd atakuwa target na wachezaji wengine ...ataumizwa tu....muda wote atakuwa anacheza kwa tahadhari....hajui ni mchezaji yupi atakuja na revenge...