OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini.