Yahya Zayd ana mpira wa kizamani ipo siku atakuja kuua mtu. Leo kwetu Yanga na Simba mjiandae

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini.
 
Simba wanaumizwa Sana kuna wengine tangu ligi imeanza ni majeruhi. Ndio mpira WA miguu. Hakuna kazi isiyo na changamoto hata wapishi huwa wanaungua. Acheni kuaminishwa vitu vya kijinga hakuna timu isiyofungwa.
 
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini
Sisi Simba tutamuwahi kabla yeye hajatuwahi
 
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini.
Angemuua kabisa
 
Wachezaji wa mpira miguu wanatakiwa wapewe semina ya kutosha juu ya mchezo wa kiungwana (fair play).

Kumuumiza mchezaji mwenzako kwa makusudi ni jambo lisilo kubalika hata kidogo katika michezo.
 
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini.
tutacheza nae hivyohivyo alivyofanya subiri tu
 
Aliumizwa general na lile li kitanta sjui,utopolo mkafurahi sana,sasa acha iwe hvyo tu. Maake hamna namna sasa
 
Cry more br,
Cry today, tomorrow and everyday
We are Azam Fc 🤍💙
Ukitaka mchezo rahisi kacheze rede au draft 😂
Naitunza comment hii.....

Unadhani kufanya rafu na kuwachezea vibaya wachezaji wenzako ni sifa???!!!! Hata kidogo.....Unadhani huyo Zayd alichowafanyia wachezaji wa Yanga kwa kuwaumiza unadhani ana raha??? What goes around comes around....Huyo Zayd atakuwa target na wachezaji wengine ...ataumizwa tu....muda wote atakuwa anacheza kwa tahadhari....hajui ni mchezaji yupi atakuja na revenge...
 
Wew bana kama umeanza kushabikia mpira leo,
Wachezaji wa undava wapo siku zote, ni wachezaj wa kazi Chafu dunia nzima, Ramos, Pepe, Casemiro, Vidic,

Kwa hio ni kawaida tu, ni watu ambao kwenye team wanatumika kuwafanya wapinzani wawe waoga,
Waambie wachezaji wako wawe makini zaidi
 
Back
Top Bottom