Yajayo yanafurahisha, Jifunze hii taaluma itakusaidia

Yajayo yanafurahisha, Jifunze hii taaluma itakusaidia

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,415
Katika maisha upepo ukivuma usikinzane nao uelewe nature yake na uenende nao sambamba ili usikupige mweleka...muhimu ni kushabihiana nao. Cryptocurrency tunataka au hatutaki ndio nature ya digital payment kwa sababu mbili kuu ni pesa inayoweza kutumika kwa transaction halafu ni investment at the same time.

Kwa wale wenzangu waliosoma finance wanaelewa money yeyote its just a paper ambayo wanajamii wamekubaliana iwe ndio kielelezo cha thamani kwa hiyo pesa haina thamani yeyote maana ni makaratasi tu ila tu ni sisi tumekubaliana kwamba iwe na thamani.. The same na Bitcoin ni watu wamekubaliana iwe na thamani kutokana na nature yake ya kuwa tabia zote muhimu za hela kama scarcity, durability, portability, e.t.c na kwenda mbele kidogo kuzidi hizi pesa zingine kwa kuwa na decentralized advantage anyways tuyaache haya.

Binafsi nimeijua hii Cryptocurrency mwaka 2017 ila nilikuwa mbishi na siamini na niiliipinga kwa nguvu zote ila baadae nikaamua kujipa space ya kufuatilia na ilipofika Nov ndio nikaifahamu sarafu inayoitwa Ripple ikiwa na price ya $0.2 nikadharau na nilikuwa na jamaa yangu akinisisitiza ninunue hima hata sarafu za laki tano maana zilikuwa cheap and affordable nikadharau ghafla bei ikaspike kutoka $0.2 hadi $3.5 na jamaa alinunua coin takribani 40000 kwa tshs nadhani haikuzidi $260 maana ndio ilikuwa initial investment yake wakati huo..asee!! Ina maana ni 3×4000= $12000 na kwa madafu ni tshs 26,400,000/= roho iliniuma sana kwanini niliignore ushauri wa yule jamaa na yeye kwa wakati huo anajilaumi kwanini hakuweka mzigo wa maana angeyakatia denge maisha mapeeema

6200302ae18654209c7d3875fd601d39.jpg
30f6ebf9369823718707159790642171.jpg


Bei ya awali hii then ghafla ikaspike hadi hii hapa price
d600956c840bb9ba3e1e058861c77ba0.jpg


o dare is to do..hujachelewa tenga muda wako jifunze zaidi juu ya hii hopefully it won't surely let you down.. Sio upatu huu wala DECI its investing early for the benefit of the future.

Hapo ndipo nilipoanza seriously kufuatilia hii ishu na sasa nimegundua its good to invest on ICO au aidrop ambapo hii airdrop kitaalamu ni kampeni ya kugawa coin bure kama strategy ya marketing hii unaweza kuwekeza kwa only sign up tu then unapewa free coins kadhaa maana wao wenye coin wanaitumia kama marketing strategy ya coin yao kupata users and build network of their investors wengi hence inakuwa positive investment for the future..

Kwa sasa Kuna coin moja iko kwenye Aidrop inakuja kuipa maximum challenge YouTube na all other related site ambazo ni za video streaming yaani hawa jamaa unalipwa pesa kwa kuplay any multimedia via hiyo block chain technology yao...its gonna be huge with an amazing potential inaitwa CURRENT ifuatilie mapema kabla hujachelewahuko telegram naona wana member kama 100,000 hawa wanasubiri official launch ya ICO ili wanunue mapeema na hii ni kwa miezi miwili imagine mwaka itakuwaje? check hapa telegram yao bado Twitter e.t.c

f64332a6d0ed03ce50f742506d8f7d34.jpg

ddebe458f45e583b02a289a995205222.jpg


Yaani nakupa fact tupu na evidence juu.. na wote wanasuburi mzigo uanzee kuuzwa wanunue imagine kama hawa wazungu kila mmoja akinunua kwa minimum dola $500 pekee zidisha na idadi ya watu 100,000..500×100,000= $50,000,000/= kwa madafu 50,000,000×2300= Tshs 115,000,000,000/= its very simple mathematic ya mwezi mmoja tu wa hilo boom wanazalishwa mamilionea kibao for the next coming years hii ishu ya Crypto imewanufaisha zaidi Wakorea, Wamarekani, Wachina na Wahindi maana wao wameiamini na kuimaster mapema lakini sisi hakina Shambuku tutazidi kutafuta mchawi hadi mwisho wa dunia kila kitu hujuaji tu wakati hakuna tunachojua smartphone ni kwa ajili ya Mange kimambi na jamii forum pekee.. Imbecilic!

Ingia hapa Current Media ukikisajili tu via this link unapewa free current coin 5 za papo kwa papo then unasubiri Initial coin offering maana hii ni airdrop tu..airdrop which simply means you make money from air...yaani unaenda kiwandani kununua sabuni..sio sawa na Yule atakaenunua kwa wakala..wa kiwandani atapitia na masaza ya kutosha mixer bakshishi.

Usije sema hukupata taarifa..yajayo yanasisimua na kufurahisha. Just learn more to earn more now.
 
Hahahahahahahahahahahahahah.

Jamaa wako aliuza coins zake za ripple? Kwenye graph nimeona baada ya peak ripple ilishuka vibaya. Ila hili umeignore kulisema. Kama jamaa hakuuza coins zake akitegemea zipande zaidi je?
 
Hahahahahahahahahahahahahah.
Jamaa wako aliuza coins zake za ripple? Kwenye graph nimeona baada ya peak ripple ilishuka vibaya. Ila hili umeignore kulisema. Kama jamaa hakuuza coins zake akitegemea zipande zaidi je?
Nadhani alikuwa ni miongoni mwaka watu walioishusha Ripple kwa kasi ya FUD yake maana million 26 na ushee zilitolewa mapema sana akanunue IST atukoge mtaani.

Mmatumbi ni mmatumbi tu. [emoji1] [emoji1]
 
Kuna ICO inayoanza na $500?

Kumbuka coins need to be mined. Sio kama paper money unaprint tu. Haiko rahisi kama unavyotaka kuuaminisha umma
A mind is like a parachute it only works when opened... Open your mind bro..ipitie tena utaelewa tu taratibu na watakuja wengine wajuzi walioelewa watakuelewesha dont worry..utaelewa..watakupa facts! Just allows your mind to diffuse this positivity... Annul those negativity.

I'm exhausted!
 
Nakubaliana na wewe mkuu, lakini uwekezaji huu unahitaji "elimu" na "umakini" wa kutosha. Tatizo la "cryptocurrency" ni kuwa hazijakuwa "stable" kwenye soko. Wakati wowote ule zinaweza kufutiliwa mbali na wawekezaji mkaambulia hasara ya kufa mtu.

Hebu fuatilia jinsi "bit-coin" inavyopigwa vita na taasisi kubwa za fedha duniani ndiyo utajua kuwa haya mavitu hayana "future" nzuri hata kidogo.
 
Hahaha matajiri huwa hawatuambii mbinu wanazopitia kufikia huko waliko, lakini nyie watu wa ma cryptocurrency mko soo humble ku share kila mbinu za mnavyotajirika, hapo ndio mnatupa wasiwasi sisi vilaza masikini.

Niuze ng'ombe ninaye muona ninunue bitcoin hata siioni. Mamantilie hatoipokea, hata kuitumia kununua nyanya chungu sitoweza, so how am I going to use my bitcoin or cryptocurrency in my daily expenditures. Naogopa sijui ndio ukilaza umezidi mwilini?!
For now I am going to pass this. Asante mkuu kwa mashule lakini hayapandi.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, lakini uwekezaji huu unahitaji "elimu" na "umakini" wa kutosha. Tatizo la "cryptocurrency" ni kuwa hazijakuwa "stable" kwenye soko. Wakati wowote ule zinaweza kufutiliwa mbali na wawekezaji mkaambulia hasara ya kufa mtu.

Hebu fuatilia jinsi "bit-coin" inavyopigwa vita na taasisi kubwa za fedha duniani ndiyo utajua kuwa haya mavitu hayana "future" nzuri hata kidogo.
Unajua hii Cryptocurrency inapingwa sana duniani kwa sababu moja kuu...iko decentralized hivyo inaondoa nguvu na power ya central bank kama Federal reserve na bank kubwa za ulimwengu kuuregulate uchumi wa dunia maana uchumi una wekwa mikononi mwa watu...na ndio kauli mbiu ya Bitcoin inasema "Be your own bank" maana watu wanaweza kutumiana fedha kwa peer to peer transaction pasipo kupitia bank ambao wanatunyonya kwa zile ten percent. Thanks to Bitcoin na that's why hata muasisi wa hii technology Satoshi Nakamoto aliamua kuwa anonymous soon baada ya kulaunch Bitcoin alijua USA watamla nyama maana amewanyanganya makucha yao kiuchumi.

Then unajua kuna sababu moja kuu mbaya sana ambayo itaifanya hii Cryptocurrency isife wala kupotezwa ni technology yake ya block chain inayosabisha ukitaka kushut down Bitcoin lazima uzime internet ya dunia nzima...something which is impossible maana hata nyuklia zao hazitafanya Kazi na Google itakuwa Gogo..aaaaahaha.

This technology is here to stay apart from challenge...una budi kujifunza inavyofanya kazi na kujua mechanism zake then take risk..mwaka huu kuna hundred of millionaire wa hizi Cryptocurrency lakini kwa vile waswahili tushajeruhiwa na sijui NNet basi kila kitu mmbongo anadoubt...guys relax and just learn more.
 
Hahaha matajiri huwa hawatuambii mbinu wanazopitia kufikia huko waliko, lakini nyie watu wa ma cryptocurrency mko soo humble ku share kila mbinu za mnavyotajirika, hapo ndio mnatupa wasiwasi sisi vilaza masikini.
Niuze ng'ombe ninaye muona ninunue bitcoin hata siioni. Mamantilie hatoipokea, hata kuitumia kununua nyanya chungu sitoweza, so how am I going to use by bitcoin or cryptocurrency in my daily expenditures. Naogopa sijui ndio ukilaza umezidi mwilini?!
For now I going to pass this. Asante mkuu kwa mashule lakini hayapandi.
Kheri yako mpwa! Umekuwa muwazi na muungwana. Lakini hata biblia unasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, jitahidi sana kuyapata maarifa kwa gharama yeyote itakusaidia.

Kuna thread moja ililetwa 2013 humu na great thinker mmoja anaitwa nani sijui hii hapa imagine ungenunua Bitcoin 4 tu kwa dola $100 December iliyopita ungekuwa na million 160,000,000/= this is true na wote tulikuwemo humu ila huyu jamaa alitukanwa hadi akakimbia JF kwa kutukaniwa wazazi...hii hapa thread https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/569915/ya kuhusu Bitcoin ikiwa inauzwa dola $100 nadhani watu wakadharau Leo hii sijui wako wapi...nimeipata hii hapa.
 
Hahaha tatizo jingine hapa kwetu nina pataje madafu yangu kutoka humo kwenye li Bitcoin?! Yani nikitaka kula kuku sasa kama Dr.Shika hizi pesa zangu nazifuata huko ulaya au naletewa kwa meli? Je, CRDB, NBC, NMB au BOT watakubali kuzibadili japo nikamate bodaboda?! Vipi bureau de change wanazo au watapokea wanipe dafu?
 
Kheri yako mpwa! Umekuwa muwazi na muungwana. Lakini hata biblia unasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, jitahidi sana kuyapata maarifa kwa gharama yeyote itakusaidia.

Kuna thread moja ililetwa 2012 humu na great thinker mmoja ya kuhusu Bitcoin ikiwa inauzwa dola 90 nadhani watu wakadharau Leo hii sijui wako wapi...ngoja niitafute niilete hapa uone mpwa.
Hahaha leta ila uwe muangalifu wasikuone, Ontario ilibidi asuse JF kwa msaada wa shule kama hizi, Hii itakuwa siri yetu.
 
Hahaha tatizo jingine hapa kwetu nina pataje madafu yangu kutoka humo kwenye li Bitcoin?! Yani nikitaka kula kuku sasa kama Dr.Shika hizi pesa zangu nazifuata huko ulaya au naletewa kwa meli?! Je crdb,nbc,nmb au BOT watakubali kuzibadili japo nikamate bodaboda?! Vipi bureau dechange wanazo au watapokea wanipe dafu?!
Hapa sasa ndo unatakiwa ujifunze zaidi ili ujue unachifanya maana Warren buffet aliwahi kusema "I always don't invest in anything I don't understand" muhimu uelewe then tia mpunga ambao hata ukipotea hautaweka vilio.
 
Haya mambo yanafaidisha wachache sana, wengi ni kilio
Chief muhimu ni kujua na kumaster the art of buying dip. Huu sio upatu wa D9 this is investing in future digital money..sophistication is Paramount.

Utacheka kinyantuzu ukiyapatia, na ndio jina la bujibuji litaondoka utapata jina jipya la Freemason.
 
Hapa sasa ndo unatakiwa ujifunze zaidi ili ujue unachifanya maana Warren buffet aliwahi kusema "I always don't invest in anything I don't understand" muhimu uelewe then tia mpunga ambao hata ukipotea hautaweka vilio.
Hahaha sasa wewe ndio tufunze wenzio tusiofahamu haya, itumie elimu yako kwa faida ya wengine hasa kwa taifa lako.

Ukisema tujifunze peke yetu hali hatuna resources hizo na hata idea hatuna, huu ndio uwanja wako mjuvi umwage ma wino humu nasi tupate sehemu ya kuzamia kupakua elimu.

Usiwe kama Mshana Jr yeye anajua uchawi anatuhadithia lakini hatufundishi, binafsi nakosa logic, why tell us if you don't want us to know?!

Mwaga ma cryptocurrency na ma Bitcoin humu mkuu The Humble African, litendee haki jina lako.
 
Hahaha sasa wewe ndio tufunze wenzio tusiofahamu haya, itumie elimu yako kwa faida ya wengine hasa kwa taifa lako.
Ukisema tujifunze peke yetu hali hatuna resources hizo na hata idea hatuna, huu ndio uwanja wako mjuvi umwage ma wino humu nasi tupate sehemu ya kuzamia kupakua elimu.
Usiwe kama Mshana Jr yeye anajua uchawi anatuhadithia lakini hatufundishi, binafsi nakosa logic, why tell us if you don't want us to know?!
Mwaga ma cryptocurrency na ma Bitcoin humu mkuu The Humble African, litendee haki jina lako.
Una mbinu sana chief naona umeninadi kwanza ili nishushe nondo zaidi kirahisi usijali ingawaje kuna watu wana matusi humu yaani hapa hapa washanitukania wazazi wangu kimoyomoyo vibaya..aaaaahaha!

It's midnight kesho tutaifanya hiyo Kazi mkuu..usijali.. Knowledge is power. Tushirikishane. Make sure unajisajili hapa Current Media kwa current usije kunililia those days ahead.

But napenda sana watoto wa kiume majasiri walio tayari kujaribu mambo mengi kuna huyu hapa yeye hajaweka hata maandishi hapa yeye kaja inbox na kufunguka haya.

Mzawa popote uliko "you are the man" achana na watoto wa mama coward who can't try anything.. Alishasema hata bill gate if you can't risk anything you won't get anything. Akina Columbus walikuwa wanarisk kwa kusafiri na majahazi miezi kibao hadi wakaivumbua US..mtembea bure sio sawa na mkaa bure. Tembea na hujaribu mengi zaidi ndo kupanua ubongo huko...unajifunza kwa theory na practical binadamu.
f43438ce2e94de2d522afec4a337f1bf.jpg
 
Watu walizaa nae hadi akasusa mtaaluma yule..hii hapa soma fasta wasikukute Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu
Huyu jamaa anasema anatumia Western union kuyanunua anasema ukitumia credit au debit card inachukua muda mrefu sanaaa kuyapata ma Bitcoin, hapo kanitisha hili li western union wale jamaa wa west(Nigerian) hulitumia kuibia pesa nitajuaje sio Mnigeria upande wa pili kakinga apokee vijisenti vyangu?! Ingawa ulisema nitoe kiasi ambacho sita kililia, sijui ni kiasi gani usawa huu.
Anyway kama halitumiki humu Tanzania nitalipataje naogopa nisije kuwa kama Dr.Shika anapesa nyiingi kwenye computer in real life anategemea sportpesa. Nipe shule au nini kilikutoa wewe wasiwasi, ulianzia pesa za rushwa?!
 
Back
Top Bottom