Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Ulikuwa unakimbilia wapi Magufuli?
Hakika mengi yamekwishasemwa. Mazuri na mabaya. Bila shaka yataendelea kusemwa—na kuandikwa. Ni kuhusu aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dakta John Magufuli, aliyetutoka rasmi kipindi hiki mwaka jana, yaani 2021. Jukumu langu katika makala haya ni moja...