Mtumishi sijui kama we ni wa kike au kiume maana mtu anaweza kuweka avator/profile/status isiyo sahihi. Kwa jinsi ulivyo na unavyowasilisha mada nimevutiwa nawe kiasi cha kuuliza kama naweza kuona maono kwa lugha nyingine kuulizia kama jimbo liko wazi. Nadhani nitakuwa na ndoa imara yenye maadili ya kiungu