Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Fanya hivi..Habarin wakuu nisiende mbali naomba nianze moja kwa moja kifupi mm nimfuasi muaminifu wa chaputa kuna dem wa kinyaturu nilimpata kimasihara tu nikampanga kiutan utani mara mtoto kaja gheto kilicho tokea sasa nikamuandaa kama nusu saa iv lkn cha ajabu uume wang haukuinuka hata mpaka alivyo unyonya bado wap wakuu baba mama bibi na vijana wenzang naomben ushaur wenu nifanyaje mm nimedumu chaputa kwa miaka 10 na nina miaka 22 kwa sasa naombeni ushauri nifanyaj spend hii hali plz naomben ushaur wenu nifanyaje mm maana nmikiw mwenyew Una simama kwa hasira mno lkn Leo umegoma
1. Fanya mazoezi ya kukimbia, Anza hata kutembea kwa haraka na kukimbia then ukiwa vizuri kimbia full.
Anza na Km chache then utakua unaongeza.
2. Asubuhi kunywa chai yenye tangawizi nyingi + majani ya Parachichi + ndimu.
Yaani bandika maji sagia tangawizi then majani Weka 3 au 4 ya Parachichi.
Acha ichemke na kuiva halafu ikiwa kwenye kikombe kamulia ndimu then sukari kwa mbali then kunywa.
Hii utakunywa tupu then ndio uje kunywa chai uliyozoea.
3. Kunywa maji mengi kila siku, lita 2 mpaka 5. We kunywa tu, usisubiri kiu.
4. Fanya kegel execires.
Kila ukikaa sehemu ukiwa na nafasi fanya.
Fanyia kwenye daladala, kitandani yaani kokote unapopata nafasi.
Ni hayo tuu..
#YNWA