Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Una matatizo mengine. Nenda ukapime afya ya moyo wako. Utakuja kunishukuru baadaye.Brother tatizo lipo kubwa tu mimi kama wewe lkn saa iv madhara ni makubwa nipo 32 lkn mzigo hausimami
Na sasa umeshapoteza confidence, hivi vinaweza kugeuka kuwa vita vya kisaikolojia zaidi. Pole sana!