Yajue madhara ya kunyonyana viungo vya uzazi wakati wa tendo la ndoa (Oral sex)

osc michael

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
55
Reaction score
95
MADHARA YA KUNYONYANA WAKATI WA TENDO LA NDOA. ( Mapenzi yanayohusisha mdomo na viungo vya uzazi)
Kwa sasa katika jamii asilimia kubwa imeathiriwa na tamaduni hii ya wapenzi kuridhishana kwa njia ya kunyonyana sehemu za siri ambayo kiuharisia huhatarisha afya zao.

Tabia hii imeigwa katika video za ngono kutoka ughaibuni hasa kwa wazungu wanaofanya biashara za video za ngono, watu bila kujua kwamba wanaofanya video za ngono wapo kikazi na ni biashara yao, hivyo kabla ya kufanya hivyo huaandaa mazingira ambayo yatawafanya wawe salama kiafya wanapocheza video hizo mfano kupima afya, wahusika hupima magonjwa yote yanayohusisha viungo vya uzazi, na magonjwa mengine yanayo ambukiza na kuzingatia usafi ndipo huanza kuigiza video hizo.

Sasa wanaoiga michezo hiyo kwa bahati mbaya hawahusishi kabisa vipimo wala kujua afya zao zikoje matokeo yake huwa katika hatari kubwa ya kupata magojwa.

HAPA NIMEKUANDALIA BAADHI YA MAGONJWA AMBAYO UNAWEZA AMBUKIZWA KIRAHISI UNAPOFANYA MICHEZO HIYO YA KUNYONYANA.

1. 👉Gonorrhea
Hili huanzia katika koo la muambukizwaji, na mwanzoni huhisi kama ni ukavu wa kifua au maradhi ya kawaida ya kifua, ila baadae hushuka na kuelekea katika viungo vya uzazi na kuanza kuonyesha dalili.

2. 👉Syphilis
Huu huambukizwa kirahisi zaidi kupitia mdomo na hasa pale inapotokea mdomo ukakutana na kiungo chenye athari hizo.

3. 👉Chlamydia
Huu pia huambukizwa kupitia mdomo, ingawa waathirika wanaweza wasijijue maana huwa hauna dalali kwa muda mrefu Ni ugonjwa unaoweza kuupata na ukadumu nao kwa muda mrefu.

4.👉hepatitis A
Huyu ni Virus anayepatikana katika kinyesi cha binadamu, huyu huwaingia wale wanaopenda kunyonyana na kulambana sehemu za haja kubwa.

5. 👉Hepatitis B
Huu huambukizwa kama HIV (virusi vya ukimwi) vile maana virusi vyake hukaa katika majimaji yanayotoka katika sehemu za siri na damu Na huu Ni ugonjwa unaoenea kwa kasi sana kwa sasa na kasi hii ya ueneaji inatokana na kuongezeka kwa tabia hizi za kunyonyana katika via vya Uzazi.

6. 👉Hepatitis C
Huu hupatikana pindi damu inapotoka maana vijidudu vyake vinakaa katika damu!

Yapo Madhara Mengine mengi kama kansa ya Koo ambayo kwa sasa limekua janga kwa wanaume wengi sana na miongoni mwa Sababu zinazotajwa kusababisha zaidi ni tabia hizi za kuzama chumvini. nimezungumzia haya machache ili nisikuchoshe msomaji wa makala hii.

Kazi ni kwako chagua kipi bora utamu au kupatwa na magonjwa hayo hatarishi

ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.

Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.

Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali duniani zikiwemo muvi za ngono.

Madaktari hao katika utafiti wao wamebaini kwamba, vijana wengi hupenda kunyonyana ndimi zao, sehemu za siri, makwapani sehemu za makalio kwenye matiti bila kujali kwamba, mwili wa binadamu unazalisha bakteria nyingi kila kukicha na kwamba bakteria hizo, huwa sumu pale zinapoingia kwa binadammu mwingine.

Katika hatua nyingine utafiti huo pia umebaini kwamba, kuna baadhi ya wanawake wanapenda kunyonya ndimi za watoto wao wakati wa kuwalisha vyakula, ama kuwabiga mabusu kila wakati bila kujali usafi wa vinywa vyao, kiasi cha kusababishi maambukizi ya magonjwa ya ngozi kwa watoto wao.

Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika picha mbalimbali wanakuwa chini uchunguzi wa watalaam wa afya, kabla na baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale kweli ndiyo tabia yao na pengine ni watu waliokutana na kuanza kunyonyana ovyo.View attachment 1608178
 
We umeleta mada na haieleweki, sasa kama huo ugonjwa namba tatu..unasema tu ugonjwa mtu anaweza kukaa nao muda mrefu lakini husemi ugonjwa wenyewe unaathiri vipi, nini atakachougua mgonjwa na dalili gani anazoweza kuzipata na afanyeje akihisi hivyo..we unaandika andika tu.
 
Hii inahusu Mapenzi yanayohusisha mdomo na viungo vya uzazi NB: Kama ilikwisha kubandikwa humu, mods usiichapishe, la naileta kwa kuwa naamini ina muhimu mkubwa kwa afya zetu maana inagusa mahusiano yasiyoepukika

Kwa sasa katika jamii asilimia kubwa imeathiriwa na tamaduni hii ya wapenzi kuridhishana kwa njia ya kunyonyana sehemu za siri ambayo kiuharisia huhatarisha afya zao.

Tabia hii imeigwa katika video za ngono kutoka ughaibuni hasa kwa wazungu wanaofanya biashara za video za ngono, watu bila kujua kwamba wanaofanya video za ngono wapo kikazi na ni biashara yao, hivyo kabla ya kufanya hivyo huaandaa mazingira ambayo yatawafanya wawe salama kiafya wanapocheza video hizo mfano kupima afya, wahusika hupima magonjwa yote yanayohusisha viungo vya uzazi, na magonjwa mengine yanayo ambukiza na kuzingatia usafi ndipo huanza kuigiza video hizo.

Sasa wanaoiga michezo hiyo kwa bahati mbaya hawahusishi kabisa vipimo wala kujua afya zao zikoje matokeo yake huwa katika hatari kubwa ya kupata magojwa.

HAPA NIMEKUANDALIA BAADHI YA MAGONJWA AMBAYO UNAWEZA AMBUKIZWA KIRAHISI UNAPOFANYA MICHEZO HIYO YA KUNYONYANA.

1. [emoji117]Gonorrhea
Hili huanzia katika koo la muambukizwaji, na mwanzoni huhisi kama ni ukavu wa kifua au maradhi ya kawaida ya kifua, ila baadae hushuka na kuelekea katika viungo vya uzazi na kuanza kuonyesha dalili.

2. [emoji117]Syphilis
Huu huambukizwa kirahisi zaidi kupitia mdomo na hasa pale inapotokea mdomo ukakutana na kiungo chenye athari hizo.

3. [emoji117]Chlamydia
Huu pia huambukizwa kupitia mdomo, ingawa waathirika wanaweza wasijijue maana huwa hauna dalali kwa muda mrefu Ni ugonjwa unaoweza kuupata na ukadumu nao kwa muda mrefu.

4.[emoji117]hepatitis A
Huyu ni Virus anayepatikana katika kinyesi cha binadamu, huyu huwaingia wale wanaopenda kunyonyana na kulambana sehemu za haja kubwa.

5. [emoji117]Hepatitis B
Huu huambukizwa kama HIV (virusi vya ukimwi) vile maana virusi vyake hukaa katika majimaji yanayotoka katika sehemu za siri na damu Na huu Ni ugonjwa unaoenea kwa kasi sana kwa sasa na kasi hii ya ueneaji inatokana na kuongezeka kwa tabia hizi za kunyonyana katika via vya Uzazi.

6. [emoji117]Hepatitis C
Huu hupatikana pindi damu inapotoka maana vijidudu vyake vinakaa katika damu!

Yapo Madhara Mengine mengi kama kansa ya Koo ambayo kwa sasa limekua janga kwa wanaume wengi sana na miongoni mwa Sababu zinazotajwa kusababisha zaidi ni tabia hizi za kuzama chumvini. nimezungumzia haya machache ili nisikuchoshe msomaji wa makala hii.

Kazi ni kwako chagua kipi bora utamu au kupatwa na magonjwa hayo hatarishi.
 
Usitutishe
Sawa kama ni kutishwa ila kumbuka kuwa hata maambukizi ya ugonjwa wa UTI nayo yanaongezeka kwa sababu moja ya njia hiyo ni tendo la ndoa kinyume cha maumbile.

Bakteria [Escherichia coli (E. coli)] ambao huishi kwenye haja kubwa ni rahisi kupenyeza kwenye njia ya mkojo pale mwanaume anapofanya tendo hilo na mwenzake ambaye hakuandaa usafi unaohitajika.
 
Back
Top Bottom