Yajue madhara ya kunyonyana viungo vya uzazi wakati wa tendo la ndoa (Oral sex)

ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.

Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.

Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali duniani zikiwemo muvi za ngono.

Madaktari hao katika utafiti wao wamebaini kwamba, vijana wengi hupenda kunyonyana ndimi zao, sehemu za siri, makwapani sehemu za makalio kwenye matiti bila kujali kwamba, mwili wa binadamu unazalisha bakteria nyingi kila kukicha na kwamba bakteria hizo, huwa sumu pale zinapoingia kwa binadammu mwingine.

Katika hatua nyingine utafiti huo pia umebaini kwamba, kuna baadhi ya wanawake wanapenda kunyonya ndimi za watoto wao wakati wa kuwalisha vyakula, ama kuwabiga mabusu kila wakati bila kujali usafi wa vinywa vyao, kiasi cha kusababishi maambukizi ya magonjwa ya ngozi kwa watoto wao.

Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika picha mbalimbali wanakuwa chini uchunguzi wa watalaam wa afya, kabla na baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale kweli ndiyo tabia yao na pengine ni watu waliokutana na kuanza kunyonyana ovyo.
20201020095049_-1632186288_7133601555583597833_449_203_80_webp.jpg
 
Mambo ya kunyonyana lazima yalikuwepo tangu enzi na enzi. Hakuna jipya chini ya jua.

NB: usinyonye kila kitu ya kila mtu. Watu ni wachafu sana.
 
ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.

Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.

Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali duniani zikiwemo muvi za ngono.

Madaktari hao katika utafiti wao wamebaini kwamba, vijana wengi hupenda kunyonyana ndimi zao, sehemu za siri, makwapani sehemu za makalio kwenye matiti bila kujali kwamba, mwili wa binadamu unazalisha bakteria nyingi kila kukicha na kwamba bakteria hizo, huwa sumu pale zinapoingia kwa binadammu mwingine.

Katika hatua nyingine utafiti huo pia umebaini kwamba, kuna baadhi ya wanawake wanapenda kunyonya ndimi za watoto wao wakati wa kuwalisha vyakula, ama kuwabiga mabusu kila wakati bila kujali usafi wa vinywa vyao, kiasi cha kusababishi maambukizi ya magonjwa ya ngozi kwa watoto wao.

Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika picha mbalimbali wanakuwa chini uchunguzi wa watalaam wa afya, kabla na baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale kweli ndiyo tabia yao na pengine ni watu waliokutana na kuanza kunyonyana ovyo.View attachment 1608178
Sisahau siku moja nanyonya K kesho yake nikaanza kuumwa ulimi
 
Kuchukua kiungo chochote uzazi cha binadam na kukiingiza sehemu isiyohusika ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Na kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni dhambi yenye madhara ya muda mfupi na muda mrefu kwa binadam.
 
Kwahy nikifanya hayo kwa mtu nnaye muamini na nshapima nae magonjwa yote n sawa au sio sawa.?
 
images (1).jpeg

siku moja baada ya kupiga deki hali imekua hii.

nashindwa kutamka maneno vizuri,mfano maneno kama kubuni mbinu natamka,,kubunu mbunyu".
kifuatacho ITV mimi natamka,"tufuatacho itv"
upembuzi yakinifu natamka,"upumbavu nusunusu"

msaada ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom