Yajue magari makubwa zaidi duniani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001

10. Caterpillar 794 C​



The Caterpillar 794 C is the newest off-highway truck
Urefu: 50.72 feet

Kimo: 26.30 feet

Upana: 32 feet.
Nguvu: 3,500bhp

Ubebaji: 291 metric tons

794 C is Caterpillar' Ni gari jipya la kufanya kazi kwenye maeneo magumu na limeingia sokoni mwaka 2020 September.

Gari hili Lina uwezo wa kubeba uzito wa 291 metric tons

9. Komatsu 930E-4​


The Komatsu 930E-4 nguvu za kuendesha gari hii huzaloshwa na generator ya umeme

Kimo: 24.18 ft

Upana: 29.82 ft

Nguvu: 2,700bhp

Ubebaji: 291.7 metric tons

Hii ni A bidhaa ya Kijapani, dubwasha hili kutoka Komatsu linaendeshwa na jenereta ya umeme aina ya mammoth 16-cylinder turbo diesel engine.

8. Hitachi EH5000AC-3​



Urefu: 50.80 ft

Kimo: 24.67 ft

Upana: 28.25 ft

Nguvu: 2,850bhp

Ubebaji: 296 metric tons

Hii ni miongoni mwa Hitachi ndefu Hitachi EH5000AC-3 ina ujazo wa 197 cubic metres, kwa uwezo huu linaweza kujaza maji kwenye mabeseni ya bafuni (bathtub) 1000 kwa mkupuo.

7. Caterpillar 795F AC​


795F hii ni ya pili kwa ukubwa katika Caterpillar zote
Urefu: 49.70 ft

Kimo: 23 ft

Upana: 31 ft

Nguvu: 3,440bhp

Ubebaji: 313 metric tons

Iwapo bebeo lake likisimamishwa, hufika urefu wa futi 50.

6. Komatsu 960E-2​



Urefu: 51.18 ft

Kimo: 24.17 ft

Upana: 31.50 ft

Nguvu: 3,500bhp

Ubebaji: 326.6 metric tons

Kwa upana wa zaidi ya futi 30 At 960E-2 Ina uwezo wa kuchukua mistari mitatu ya barabara iwapo itaruhusiwa kutembea barabarani (barabara za magari ya kawaida).


5. Belaz 75600​


75600 hili ndio gari la pili kwa kubwa kutoka kampuni ya Belaz

Urefu: 50.85 ft

Kimo: 24.50 ft

Upana: 31 ft

Nguvu: 3,500bhp

Unenaji: 360 metric tons

Gari hili limetengenezwa kwwnye nchi ndogo ya barani Ulaya Belarus, Belaz 75600 ina nguvu ya kubeba 360 metric tons kwa mkupuo. Huu Ni uzito sawa wa tembo 🐘🐘🐘🐘 50 wakubwa waliopevuka na kukomaa.

4. Liebherr T284​


Hili ndilo gari pekee kwenye orodha ambalo limetoka Germany

Urefu: 51.48 ft

Kimo: 24.34 ft

Upana: 31.73 ft

Nguvu: 3,969bhp

Ubebaji: 363 metric tons

3. Caterpillar 797​



Urefu: 48.56 ft

Kimo: 21.39 ft

Upana: 32 ft

Nguvu: 4,000bhp

Ubebaji: 363 metric tons

Hili ndilo gari kubwa kabisa kuzalisha na kiwanda cha Caterpillar, gurudumu lake moja lina usawa na wanaume wawili warefu wakiunganishwa pamoja, na set yote ya magurudumu yake inauzwa kwa £137,000.

Cha kuogopesha zaidi hi gari inaweza kwenda kwa kasi ya spidi 42 mph, ikiwa imebeba mzigo wa uzito wa 687.5 metric tons.

2. Komatsu 980E-4​



Urefu: 45.83 ft

Kimo: 26.25 ft

Upana: 32.84 ft

Nguvu: 3,500bhp

Ubebaji: 369.4 metric tons



1. Belaz 75710​



Urefu: 67.50 ft

Kimo: 26.80 ft

Upana: 32 ft

Nguvu: 11,012bhp

Ubebaji: 450 metric tons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…