Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
Nini ist, hata bodaboda inakutoa nnyaIST ikikukanyaga tumboni utapona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini ist, hata bodaboda inakutoa nnyaIST ikikukanyaga tumboni utapona?
Hiyo ni mitambo sio magari. Mfano hapo kwenye picha kuna gari limebeba mtambo.View attachment 1872341
Mbwembwe zote kumbe kuna midubwana inabeba hiyo mimashine!!![emoji16]
Anadhani kila mwana JF kazaliwa juziKijana, numekumbia usiseme uongo.
Caspian amekua sub contractor kwenye migodi ya Barrick yes, lakini mgodi wa Bulyanhulu hauwawezi tumia machine hizi kwasababu ni Underground Mine.
Na hata inapotokea Sub anapewa contract ya kujenga bwawa hawezi kuleta ama kutumia mashine za aina hii..
Hizi machine sana zinatumika Buzwagi, Geita (GGM) na North Mara (Nyamongo).
Tena usizungumzie uwepo wako wakati wa kujenga mabwawa ya Zebaki, watu tulikuepo hata kabla Main Shaft haijachimbwa na kujengwa. Yaani tulikuepo kipindi Skanska wakitoboa Box Cut. Hapa namaanisha nimekuwepo hata kabla hiyo Zebaki haijaanza kutumika migodini na sikuzile tulipaita Tellings Dam.
Hiyo mijibebaji tuuiteje Sasa?Mbwembwe zote kumbe kuna midubwana inabeba hiyo mimashine!!![emoji16]
Tunapaswa kumsamehe bure..😜😜😜Anadhani kila mwana JF kazaliwa juzi
Bujibuji nilikua naangalia kama wachina nao wamo, kumbe hamna kitu.10. Caterpillar 794 C
The Caterpillar 794 C is the newest off-highway truck
Urefu: 50.72 feet
Kimo: 26.30 feet
Upana: 32 feet.
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 291 metric tons
794 C is Caterpillar' Ni gari jipya la kufanya kazi kwenye maeneo magumu na limeingia sokoni mwaka 2020 September.
Gari hili Lina uwezo wa kubeba uzito wa 291 metric tons
9. Komatsu 930E-4
![]()
The Komatsu 930E-4 nguvu za kuendesha gari hii huzaloshwa na generator ya umeme
Kimo: 24.18 ft
Upana: 29.82 ft
Nguvu: 2,700bhp
Ubebaji: 291.7 metric tons
Hii ni A bidhaa ya Kijapani, dubwasha hili kutoka Komatsu linaendeshwa na jenereta ya umeme aina ya mammoth 16-cylinder turbo diesel engine.
8. Hitachi EH5000AC-3
![]()
Urefu: 50.80 ft
Kimo: 24.67 ft
Upana: 28.25 ft
Nguvu: 2,850bhp
Ubebaji: 296 metric tons
Hii ni miongoni mwa Hitachi ndefu Hitachi EH5000AC-3 ina ujazo wa 197 cubic metres, kwa uwezo huu linaweza kujaza maji kwenye mabeseni ya bafuni (bathtub) 1000 kwa mkupuo.
7. Caterpillar 795F AC
![]()
795F hii ni ya pili kwa ukubwa katika Caterpillar zote
Urefu: 49.70 ft
Kimo: 23 ft
Upana: 31 ft
Nguvu: 3,440bhp
Ubebaji: 313 metric tons
Iwapo bebeo lake likisimamishwa, hufika urefu wa futi 50.
6. Komatsu 960E-2
![]()
Urefu: 51.18 ft
Kimo: 24.17 ft
Upana: 31.50 ft
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 326.6 metric tons
Kwa upana wa zaidi ya futi 30 At 960E-2 Ina uwezo wa kuchukua mistari mitatu ya barabara iwapo itaruhusiwa kutembea barabarani (barabara za magari ya kawaida).
5. Belaz 75600
![]()
75600 hili ndio gari la pili kwa kubwa kutoka kampuni ya Belaz
Urefu: 50.85 ft
Kimo: 24.50 ft
Upana: 31 ft
Nguvu: 3,500bhp
Unenaji: 360 metric tons
Gari hili limetengenezwa kwwnye nchi ndogo ya barani Ulaya Belarus, Belaz 75600 ina nguvu ya kubeba 360 metric tons kwa mkupuo. Huu Ni uzito sawa wa tembo [emoji208][emoji208][emoji208][emoji208] 50 wakubwa waliopevuka na kukomaa.
4. Liebherr T284
![]()
Hili ndilo gari pekee kwenye orodha ambalo limetoka Germany
Urefu: 51.48 ft
Kimo: 24.34 ft
Upana: 31.73 ft
Nguvu: 3,969bhp
Ubebaji: 363 metric tons
3. Caterpillar 797
![]()
Urefu: 48.56 ft
Kimo: 21.39 ft
Upana: 32 ft
Nguvu: 4,000bhp
Ubebaji: 363 metric tons
Hili ndilo gari kubwa kabisa kuzalisha na kiwanda cha Caterpillar, gurudumu lake moja lina usawa na wanaume wawili warefu wakiunganishwa pamoja, na set yote ya magurudumu yake inauzwa kwa £137,000.
Cha kuogopesha zaidi hi gari inaweza kwenda kwa kasi ya spidi 42 mph, ikiwa imebeba mzigo wa uzito wa 687.5 metric tons.
2. Komatsu 980E-4
![]()
Urefu: 45.83 ft
Kimo: 26.25 ft
Upana: 32.84 ft
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 369.4 metric tons
1. Belaz 75710
![]()
Urefu: 67.50 ft
Kimo: 26.80 ft
Upana: 32 ft
Nguvu: 11,012bhp
Ubebaji: 450 metric tons
Wachina nao wameanza kuyaunda ila bado sana zakwao hazifikia hizi kwa ukubwaBujibuji nilikua naangalia kama wachina nao wamo, kumbe hamna kitu.
1 BELAZ: 7571O. BELARUS nchi ndogo toka SOVIETS UNION(ya zamani) lakini ni ndogo kwa watu na ardhi sio kwa technology, BELARUS kitecnology ni vichwa sawa na Russia.
View attachment 1872619
Wewe unadhani, ni kwanini hiyo midubwana inazibeba hizo machine..??Mbwembwe zote kumbe kuna midubwana inabeba hiyo mimashine!!![emoji16]
Midubwana hiyo ni lazima ibwebwe kwenye matrela, kwasababu hayo ni ma heavyweight hayana mbio, basi yanako hitajika husafirishwa kwa kubebwa na matrelaWewe unadhani, ni kwanini hiyo midubwana inazibeba hizo machine..??
labda ndogo zake, hizi zilizoorodheshwa hapa Ni records breaking, hazipo kila mahaliHizi mgodini Bulyanhulu tumeyachezea sana
Zilikuwepo Bul.labda ndogo zake, hizi zilizoorodheshwa hapa Ni records breaking, hazipo kila mahali
Kwan hizo nchi zote zinazotengeza hizo gari zina chuma?Tungekuwa na chuma na sisi tungetengeneza
Zinacho. Maana hayo magari ni chuma tupu.Kwan hizo nchi zote zinazotengeza hizo gari zina chuma?
Mi sijaziona Terex ktk hiyo listHappy sioni Liaz na Komaz gari za Mrusi
Pale GGM zinazotumika nyingi ni make ya TerexKijana, numekumbia usiseme uongo.
Caspian amekua sub contractor kwenye migodi ya Barrick yes, lakini mgodi wa Bulyanhulu hauwawezi tumia machine hizi kwasababu ni Underground Mine.
Na hata inapotokea Sub anapewa contract ya kujenga bwawa hawezi kuleta ama kutumia mashine za aina hii..
Hizi machine sana zinatumika Buzwagi, Geita (GGM) na North Mara (Nyamongo).
Tena usizungumzie uwepo wako wakati wa kujenga mabwawa ya Zebaki, watu tulikuepo hata kabla Main Shaft haijachimbwa na kujengwa. Yaani tulikuepo kipindi Skanska wakitoboa Box Cut. Hapa namaanisha nimekuwepo hata kabla hiyo Zebaki haijaanza kutumika migodini na sikuzile tulipaita Tellings Dam.