Kijana, numekumbia usiseme uongo.
Caspian amekua sub contractor kwenye migodi ya Barrick yes, lakini mgodi wa Bulyanhulu hauwawezi tumia machine hizi kwasababu ni Underground Mine.
Na hata inapotokea Sub anapewa contract ya kujenga bwawa hawezi kuleta ama kutumia mashine za aina hii..
Hizi machine sana zinatumika Buzwagi, Geita (GGM) na North Mara (Nyamongo).
Tena usizungumzie uwepo wako wakati wa kujenga mabwawa ya Zebaki, watu tulikuepo hata kabla Main Shaft haijachimbwa na kujengwa. Yaani tulikuepo kipindi Skanska wakitoboa Box Cut. Hapa namaanisha nimekuwepo hata kabla hiyo Zebaki haijaanza kutumika migodini na sikuzile tulipaita Tellings Dam.