Yajue magari makubwa zaidi duniani

Yajue magari makubwa zaidi duniani

Hiyo mashine kuna mgodi fulani ilikanyaga landcruiser hardtop bila dereva wake kuhisi amekanyaga kitu.
Yani huo mdude unauwezo wa kukanyaga fuso na kuifanya chapati.
Hivi haya majigari yakikukanyaga tumboni unapona?
 
ikipata pancha tairi yake vipi tuonyeshe jeck yake kwa picha
 
Vyombo vya kurahisisha process ni machine! Kuyaita hayo madude ni magari utakuwa unakosea! CAT kiwanda hiki kina deal na mitambo zaidi so product zao nyingi ni based on Mitambo!
 
Hiyo mashine kuna mgodi fulani ilikanyaga landcruiser hardtop bila dereva wake kuhisi amekanyaga kitu.
Yani huo mdude unauwezo wa kukanyaga fuso na kuifanya chapati.
Fuso ikishakuwa chapati inaliwa na supu, chai au juice? Halafu hilo gari limevunja mwiko wa ulaji chapati, chapati zinaliwa mbili, inatakiwa litafute Fuso lingine la kulikanyaga ili lishibe
 
Vyombo vya kurahisisha process ni machine! Kuyaita hayo madude ni magari utakuwa unakosea! CAT kiwanda hiki kina deal na mitambo zaidi so product zao nyingi ni based on Mitambo!
Kila gari linarahisisha process.
Kwenye process ya usafirishaji makontena utatumia flat board truck, huwezi kutumia vitz.
Kwenye process ya usafirishaji wa abiria utatumia Basi.
Kwenye process ya kubeba vifusi vikubwa migodini utatumia HAUL TRUCK, ni division of labor mzee
 
Extrovert, Asante kwa recognition yako kwenye kipande hiki cha ujumbe ulicho ki like
 
Mkuu hawa CAT walinunuliwa na USA maana nilidhani originally ni kutoka German
 
Mkuu hawa CAT walinunuliwa na USA maana nilidhani originally ni kutoka German
 
Mkuu hawa CAT walinunuliwa na USA maana nilidhani originally ni kutoka German
CAT ilianzishwa Marekani. Mojawapo ya makampuni yaliyoleta mageuzi kwenye kilimo ukiyataja mengine kama John Deere. Hilo neno Caterpillar lilitolewa na mpigapicha wao aliyeitwa kupiga picha model flani mpya, dereva alipofanya manoeuvre mpigapicha akaropoka "Ooh its moving like a caterpillar" mabosi wa kampuni wakasikia wakapenda huo msemo. Wana patent rights za hilo neno hata buti za CAT unazoona mtaani wanalipwa commission na watengenezaji

JVC ilianzishwa Uingereza na injinia mmoja aliyekuwa na gereji la magari yaliyotumika world war ikaisha yakauzwa uraiani. Alianza na kutengeneza 'tera' sijui mnaitaje lile la kubebea mizigo lilivutwa na gari, baadae akaajiri watu 6, badae hivo
 
Kwanini huwa asillimia kubwa ya watu wanaoendesha haya magari huwa wanapata shida ya kuumwa migongo?
nami nilitamani sana niendeshe ila uoga ukawa upande wa kuuguza mgongo!
Kwa upande mmoja tunaweza sema ni kwel upande mwengne sio kweli.
Kuumwa mgongo inaweza kutokana na hali ya kiti cha kwenye mashine na mda unao utumia kufanya kazi. Mfano: kwa kawaida mashine inatakiwa ifanye kaz ndani ya masaa 8 ipumzishwe na ww pia upumzike lakin kuna watu wanakomaa kwenye mashine zaid ya mda wa masaa 8-12 bila kupumzikia na ile mitikisiko ya mashine unategemea nn hapo?
 
Hiyo mashine kuna mgodi fulani ilikanyaga landcruiser hardtop bila dereva wake kuhisi amekanyaga kitu.
Yani huo mdude unauwezo wa kukanyaga fuso na kuifanya chapati.
 
Back
Top Bottom