Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hata sidhani kama anaelewa hiyo ADT...😜😜We jamaa bhana 😁😁
Au uliona ADT??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sidhani kama anaelewa hiyo ADT...😜😜We jamaa bhana 😁😁
Au uliona ADT??
Na ninadhani sababu kubwa ni Komatsu kua na ujazo mkubwa zaidi na parts za Komatsu kidogo ni cheeper than Cat.Naona hapa Barrick NM
ni kama wanaachana na hizo za CAT
nyingi naona sasa ni za Komatsu
ndiyo zinatamba!
Halafu na Ka Ist kangu pamoja na hp kubwa yao ninawapita km wamesimama.10. Caterpillar 794 C
The Caterpillar 794 C is the newest off-highway truck
Urefu: 50.72 feet
Kimo: 26.30 feet
Upana: 32 feet.
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 291 metric tons
794 C is Caterpillar' Ni gari jipya la kufanya kazi kwenye maeneo magumu na limeingia sokoni mwaka 2020 September.
Gari hili Lina uwezo wa kubeba uzito wa 291 metric tons
9. Komatsu 930E-4
![]()
The Komatsu 930E-4 nguvu za kuendesha gari hii huzaloshwa na generator ya umeme
Kimo: 24.18 ft
Upana: 29.82 ft
Nguvu: 2,700bhp
Ubebaji: 291.7 metric tons
Hii ni A bidhaa ya Kijapani, dubwasha hili kutoka Komatsu linaendeshwa na jenereta ya umeme aina ya mammoth 16-cylinder turbo diesel engine.
8. Hitachi EH5000AC-3
![]()
Urefu: 50.80 ft
Kimo: 24.67 ft
Upana: 28.25 ft
Nguvu: 2,850bhp
Ubebaji: 296 metric tons
Hii ni miongoni mwa Hitachi ndefu Hitachi EH5000AC-3 ina ujazo wa 197 cubic metres, kwa uwezo huu linaweza kujaza maji kwenye mabeseni ya bafuni (bathtub) 1000 kwa mkupuo.
7. Caterpillar 795F AC
![]()
795F hii ni ya pili kwa ukubwa katika Caterpillar zote
Urefu: 49.70 ft
Kimo: 23 ft
Upana: 31 ft
Nguvu: 3,440bhp
Ubebaji: 313 metric tons
Iwapo bebeo lake likisimamishwa, hufika urefu wa futi 50.
6. Komatsu 960E-2
![]()
Urefu: 51.18 ft
Kimo: 24.17 ft
Upana: 31.50 ft
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 326.6 metric tons
Kwa upana wa zaidi ya futi 30 At 960E-2 Ina uwezo wa kuchukua mistari mitatu ya barabara iwapo itaruhusiwa kutembea barabarani (barabara za magari ya kawaida).
5. Belaz 75600
![]()
75600 hili ndio gari la pili kwa kubwa kutoka kampuni ya Belaz
Urefu: 50.85 ft
Kimo: 24.50 ft
Upana: 31 ft
Nguvu: 3,500bhp
Unenaji: 360 metric tons
Gari hili limetengenezwa kwwnye nchi ndogo ya barani Ulaya Belarus, Belaz 75600 ina nguvu ya kubeba 360 metric tons kwa mkupuo. Huu Ni uzito sawa wa tembo [emoji208][emoji208][emoji208][emoji208] 50 wakubwa waliopevuka na kukomaa.
4. Liebherr T284
![]()
Hili ndilo gari pekee kwenye orodha ambalo limetoka Germany
Urefu: 51.48 ft
Kimo: 24.34 ft
Upana: 31.73 ft
Nguvu: 3,969bhp
Ubebaji: 363 metric tons
3. Caterpillar 797
![]()
Urefu: 48.56 ft
Kimo: 21.39 ft
Upana: 32 ft
Nguvu: 4,000bhp
Ubebaji: 363 metric tons
Hili ndilo gari kubwa kabisa kuzalisha na kiwanda cha Caterpillar, gurudumu lake moja lina usawa na wanaume wawili warefu wakiunganishwa pamoja, na set yote ya magurudumu yake inauzwa kwa £137,000.
Cha kuogopesha zaidi hi gari inaweza kwenda kwa kasi ya spidi 42 mph, ikiwa imebeba mzigo wa uzito wa 687.5 metric tons.
2. Komatsu 980E-4
![]()
Urefu: 45.83 ft
Kimo: 26.25 ft
Upana: 32.84 ft
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 369.4 metric tons
1. Belaz 75710
![]()
Urefu: 67.50 ft
Kimo: 26.80 ft
Upana: 32 ft
Nguvu: 11,012bhp
Ubebaji: 450 metric tons
Kwanza hayo shuguli zake hufanyia migodini tu, sio kwenye barabara za lami au highway, pamoja na hivyo hayo binafsi hayana uzito wa kupita kiasi u haribu Barbara ila mizigo yanayo beba ndio yenye uzito mkubwa.Hizo zikipita kwenye barabara zetu lazma ziharibu
Hii kama unajenga nyumba ya kuishi,mchanga trip moja mpaka unamaliza nyumba...10. Caterpillar 794 C
The Caterpillar 794 C is the newest off-highway truck
Urefu: 50.72 feet
Kimo: 26.30 feet
Upana: 32 feet.
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 291 metric tons
794 C is Caterpillar' Ni gari jipya la kufanya kazi kwenye maeneo magumu na limeingia sokoni mwaka 2020 September.
Gari hili Lina uwezo wa kubeba uzito wa 291 metric tons
9. Komatsu 930E-4
![]()
The Komatsu 930E-4 nguvu za kuendesha gari hii huzaloshwa na generator ya umeme
Kimo: 24.18 ft
Upana: 29.82 ft
Nguvu: 2,700bhp
Ubebaji: 291.7 metric tons
Hii ni A bidhaa ya Kijapani, dubwasha hili kutoka Komatsu linaendeshwa na jenereta ya umeme aina ya mammoth 16-cylinder turbo diesel engine.
8. Hitachi EH5000AC-3
![]()
Urefu: 50.80 ft
Kimo: 24.67 ft
Upana: 28.25 ft
Nguvu: 2,850bhp
Ubebaji: 296 metric tons
Hii ni miongoni mwa Hitachi ndefu Hitachi EH5000AC-3 ina ujazo wa 197 cubic metres, kwa uwezo huu linaweza kujaza maji kwenye mabeseni ya bafuni (bathtub) 1000 kwa mkupuo.
7. Caterpillar 795F AC
![]()
795F hii ni ya pili kwa ukubwa katika Caterpillar zote
Urefu: 49.70 ft
Kimo: 23 ft
Upana: 31 ft
Nguvu: 3,440bhp
Ubebaji: 313 metric tons
Iwapo bebeo lake likisimamishwa, hufika urefu wa futi 50.
6. Komatsu 960E-2
![]()
Urefu: 51.18 ft
Kimo: 24.17 ft
Upana: 31.50 ft
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 326.6 metric tons
Kwa upana wa zaidi ya futi 30 At 960E-2 Ina uwezo wa kuchukua mistari mitatu ya barabara iwapo itaruhusiwa kutembea barabarani (barabara za magari ya kawaida).
5. Belaz 75600
![]()
75600 hili ndio gari la pili kwa kubwa kutoka kampuni ya Belaz
Urefu: 50.85 ft
Kimo: 24.50 ft
Upana: 31 ft
Nguvu: 3,500bhp
Unenaji: 360 metric tons
Gari hili limetengenezwa kwwnye nchi ndogo ya barani Ulaya Belarus, Belaz 75600 ina nguvu ya kubeba 360 metric tons kwa mkupuo. Huu Ni uzito sawa wa tembo 🐘🐘🐘🐘 50 wakubwa waliopevuka na kukomaa.
4. Liebherr T284
![]()
Hili ndilo gari pekee kwenye orodha ambalo limetoka Germany
Urefu: 51.48 ft
Kimo: 24.34 ft
Upana: 31.73 ft
Nguvu: 3,969bhp
Ubebaji: 363 metric tons
3. Caterpillar 797
![]()
Urefu: 48.56 ft
Kimo: 21.39 ft
Upana: 32 ft
Nguvu: 4,000bhp
Ubebaji: 363 metric tons
Hili ndilo gari kubwa kabisa kuzalisha na kiwanda cha Caterpillar, gurudumu lake moja lina usawa na wanaume wawili warefu wakiunganishwa pamoja, na set yote ya magurudumu yake inauzwa kwa £137,000.
Cha kuogopesha zaidi hi gari inaweza kwenda kwa kasi ya spidi 42 mph, ikiwa imebeba mzigo wa uzito wa 687.5 metric tons.
2. Komatsu 980E-4
![]()
Urefu: 45.83 ft
Kimo: 26.25 ft
Upana: 32.84 ft
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 369.4 metric tons
1. Belaz 75710
![]()
Urefu: 67.50 ft
Kimo: 26.80 ft
Upana: 32 ft
Nguvu: 11,012bhp
Ubebaji: 450 metric tons
Usiogope huo ukubwa kiongozi Bujibuji, nafasi ya dereva ni ile ile!! Yaan kakiti na usukani na gia zake 🤓🤓🤓🤓10. Caterpillar 794 C

Huo msamiati wa kutinga ......kweli mkuu umepitia kwenye ile mishimoI appreciate, so mkuu bado unatinga?
Watingaji hawajifichi...🤣🤣Huo msamiati wa kutinga ......kweli mkuu umepitia kwenye ile mishimo
Kila mbabe ana mbabe wakeMbwembwe zote kumbe kuna midubwana inabeba hiyo mimashine!!![emoji16]
60 miles per hour, convert to kilometersSpeed yake ngapi ? 120 au 140
Momumo, naloli mwaisa!Hiyo mweeeee!! Sasa ulivyoipiga, yaani ni ile OG kabisa kutoka Kwenu Nditu, Mwakaleli, mwe bha Mwamsojo
Very Good jemima Mrembo60 miles per hour, convert to kilometers
Chuma ni mojawapo ya vyanzo vikuu vya utajiri wa Australia. Wanawauzia Wachina. Sisi tunataka utajiri wa serikali utokane na wananchi hohehahe kwa kuwakamua tozo.CCM hawaoni umuhimu wa kuinvest kwenye kuendelea madini ya chuma. Utajiri wa nchi nyingi umetokana na uwepo wa madini ya chuma, sisi mafala tuko busy na tanzanite
Ungekuwa unafanya kazi bandarini ungeyaona sn haya madude.Nakumbuka kuna dude moja hapo nilikuwa napita katikati ya tairi na tairi bila kuinamaSjawah kubahatka kuyaona kwa ukaribu naishiaga kuyaona kwenye tv
Jiji la dar linunue madude kama hayo kuzolea taka
Chama Cha MazezetaChuma ni mojawapo ya vyanzo vikuu vya utajiri wa Australia. Wanawauzia Wachina. Sisi tunataka utajiri wa serikali utokane na wananchi hohehahe kwa kuwakamua tozo.
Lini maskini wakaitajirisha nchi yao?! Tufunguke, tuwe wabunifu na kutumia utajiri wa rasilimali zetu lukuki kutajirisha nchi yetu na wananchi wetu, si kuwakamua!
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Nchi haina think tanksChuma ni mojawapo ya vyanzo vikuu vya utajiri wa Australia. Wanawauzia Wachina. Sisi tunataka utajiri wa serikali utokane na wananchi hohehahe kwa kuwakamua tozo.