Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Hata IST Toyota ni mashine pia.Hizo ni mashine sio magari bwn Bujibuji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata IST Toyota ni mashine pia.Hizo ni mashine sio magari bwn Bujibuji
Ndugai Alisha jieleza vizuri kabisa faili lake lilipoSema Wazungu na Watu wa Far East. Siyo binadamu jamii ya Ndugai.
10. Caterpillar 794 C
The Caterpillar 794 C is the newest off-highway truck
Urefu: 50.72 feet
Kimo: 26.30 feet
Upana: 32 feet.
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 291 metric tons
794 C is Caterpillar' Ni gari jipya la kufanya kazi kwenye maeneo magumu na limeingia sokoni mwaka 2020 September.
Gari hili Lina uwezo wa kubeba uzito wa 291 metric tons
9. Komatsu 930E-4
![]()
The Komatsu 930E-4 nguvu za kuendesha gari hii huzaloshwa na generator ya umeme
Kimo: 24.18 ft
Upana: 29.82 ft
Nguvu: 2,700bhp
Ubebaji: 291.7 metric tons
Hii ni A bidhaa ya Kijapani, dubwasha hili kutoka Komatsu linaendeshwa na jenereta ya umeme aina ya mammoth 16-cylinder turbo diesel engine.
8. Hitachi EH5000AC-3
![]()
Urefu: 50.80 ft
Kimo: 24.67 ft
Upana: 28.25 ft
Nguvu: 2,850bhp
Ubebaji: 296 metric tons
Hii ni miongoni mwa Hitachi ndefu Hitachi EH5000AC-3 ina ujazo wa 197 cubic metres, kwa uwezo huu linaweza kujaza maji kwenye mabeseni ya bafuni (bathtub) 1000 kwa mkupuo.
7. Caterpillar 795F AC
![]()
795F hii ni ya pili kwa ukubwa katika Caterpillar zote
Urefu: 49.70 ft
Kimo: 23 ft
Upana: 31 ft
Nguvu: 3,440bhp
Ubebaji: 313 metric tons
Iwapo bebeo lake likisimamishwa, hufika urefu wa futi 50.
6. Komatsu 960E-2
![]()
Urefu: 51.18 ft
Kimo: 24.17 ft
Upana: 31.50 ft
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 326.6 metric tons
Kwa upana wa zaidi ya futi 30 At 960E-2 Ina uwezo wa kuchukua mistari mitatu ya barabara iwapo itaruhusiwa kutembea barabarani (barabara za magari ya kawaida).
5. Belaz 75600
![]()
75600 hili ndio gari la pili kwa kubwa kutoka kampuni ya Belaz
Urefu: 50.85 ft
Kimo: 24.50 ft
Upana: 31 ft
Nguvu: 3,500bhp
Unenaji: 360 metric tons
Gari hili limetengenezwa kwwnye nchi ndogo ya barani Ulaya Belarus, Belaz 75600 ina nguvu ya kubeba 360 metric tons kwa mkupuo. Huu Ni uzito sawa wa tembo 🐘🐘🐘🐘 50 wakubwa waliopevuka na kukomaa.
4. Liebherr T284
![]()
Hili ndilo gari pekee kwenye orodha ambalo limetoka Germany
Urefu: 51.48 ft
Kimo: 24.34 ft
Upana: 31.73 ft
Nguvu: 3,969bhp
Ubebaji: 363 metric tons
3. Caterpillar 797
![]()
Urefu: 48.56 ft
Kimo: 21.39 ft
Upana: 32 ft
Nguvu: 4,000bhp
Ubebaji: 363 metric tons
Hili ndilo gari kubwa kabisa kuzalisha na kiwanda cha Caterpillar, gurudumu lake moja lina usawa na wanaume wawili warefu wakiunganishwa pamoja, na set yote ya magurudumu yake inauzwa kwa £137,000.
Cha kuogopesha zaidi hi gari inaweza kwenda kwa kasi ya spidi 42 mph, ikiwa imebeba mzigo wa uzito wa 687.5 metric tons.
2. Komatsu 980E-4
![]()
Urefu: 45.83 ft
Kimo: 26.25 ft
Upana: 32.84 ft
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 369.4 metric tons
1. Belaz 75710
![]()
Urefu: 67.50 ft
Kimo: 26.80 ft
Upana: 32 ft
Nguvu: 11,012bhp
Ubebaji: 450 metric tons
Kama umeundwa kwa waya na dagio tunasema limekunyundaHivi haya majigari yakikukanyaga tumboni unapona?
Feki kabisaMbona la diamond halipo?? Uzi feki huu
Tumeachwa mbali tukubali tu. Hizo machine zote ns zingine hakuna made in AfrikaHata kwao wapinga changing app kibao TU. Kupinga hakufundishwi ni hulka huru kutoka rohoni
Mkuu, ebu acha kudanganya watu hapa.Hizi mgodini Bulyanhulu tumeyachezea sana
Ungekuwa umewahi kufanya kazi kule udingebisha.Mkuu, ebu acha kudanganya watu hapa.
Mgodi wa Buly hakuna mashine hizi sababu ni Underground Mine , na nyingi zinatumika kwenye migodi ilio anza na Open Pit Mine
Hii jamaa ni ongo sana.Make gani na model gani. Kuwa specific
Kijana, numekumbia usiseme uongo.Ungekuwa umewahi kufanya kazi kule udingebisha.
Kampuni tanzu ya Caspian ambayo ina tenda nyingi kule mgodini wanazo hizo mashine.
Hasa hutumia kubebea heavy pit kwaajili ya kujengea mabwawa ya maji yenye sumu ya sydine
Takutumia picha zangu nilizopiga nikiwa na hiyo mi convoy ikiwezekana
Hauna screpa hapo nyumbani tuje kuyachezea?Hizi mgodini Bulyanhulu tumeyachezea sana
IST ikikukanyaga tumboni utapona?Hivi haya majigari yakikukanyaga tumboni unapona?
Jamaa alidhani sisi ni BHASISIMIKISI WA KUTOKA NGEMELAHii jamaa ni ongo sana.
Bulyanhulu wanatumia machine za aina hii nilio ambatanisha hapa chini.
View attachment 1872409
View attachment 1872410
View attachment 1872411