Point sana umeongea. Ni vile serikali imekataa kuonesha ushirikiano kwenye EV ngoja tubaki na hybrid.kingine Ev ni nzuri sana ila hutaweza kwenda nayo mikoani coz hatuna sehem za kuchaji. na ev zenye range kubwa ni 500km per charge na ukiwa masafa range inaweza pungua sababu ya mwendo mkubwa na power utakayokuwa unatumia
IMA hawatumii tena hyo ipo kwenye insight ila fit, vezel, shuttle zote ni full hybrid. Ev pekeake inategemea na mwendo unaitembea na barabara pia kama matumizi ya Ac kwenye Vezel yangu km nyingi ilizotembea nimeona 2km+ hapo nimemaintain 60kmh na ac sijawasha. mda mwingi huwa inachanganya mafuta na umemeWanatumia IMA hybrid tech eeh kama Fit, Grace na Insight.
Hivi in EV mode inaweza tembea km ngapi kabla engine haija-kick in?
zipo gari zinazowafaa Suv hybrid zipo tena nyingi ni plug in hybridHivi hzi gari haziwafai wabunge wetu kweli.?
Maana naona kama tutaokoa pesa nyng sana ya wese wakipewa hz chuma..
Labda miaka ya mbele watafikiria kupunguza kodi. but kwa sasa chaguo la ev kwa uchumi wa mtu wa kawaida ni Nissan leaf ambayo unaipata kuanzia 25m kuendelea. ila hii inatoa 200km hadi 280km so Dar to moro unafika ila lazima uchaji ndo urudi darPoint sana umeongea. Ni vile serikali imekataa kuonesha ushirikiano kwenye EV ngoja tubaki na hybrid.
hongera unagari ambayo hybrid battery yake kufa ni ngum sana na hata ikitokea basi huwa inaua module 4 hadi 8 za block ya kwanza upande wa dereva. zingatia usafi tu hapo seat za nyuma maana inavuta hewa ya kupooza betry miguuni chini ya siti za nyuma utaenjoy mda mrefu sana bila shida za hybrid battery.Asante Sana kwa mada nzuri, labda kwa kuongeza Tu, epuka kupeleka Gari yako kwa Fundi umeme ambaye hatumii mashine kufanya diagnosis ila anatumia tester Ile ya kupigisha shoti.
Mimi ni mdau wa hybrid, natumia Harrier hybrid Una engine KUBWA ila ukiendesha Hii Gari na ukaendesha hizi harrier nyingine za cc 240 utazichukia
Nilitaka iyo Leaf 2nd gen 2018 mwaka jana ushuru 23 mil nikajua huu mwaka utashuka, imekua 20 mil.Labda miaka ya mbele watafikiria kupunguza kodi. but kwa sasa chaguo la ev kwa uchumi wa mtu wa kawaida ni Nissan leaf ambayo unaipata kuanzia 25m kuendelea. ila hii inatoa 200km hadi 280km so Dar to moro unafika ila lazima uchaji ndo urudi dar
πππππ nchi yetu kwenye mamb ya green energy haitaki kufikiriq kabisa japo mwaka juzi walisema wanapunguza kodi kwenye hybrid na ev ila hadi sasa naona moto ni uleule tuuuNilitaka iyo Leaf 2nd gen 2018 mwaka jana ushuru 23 mil nikajua huu mwaka utashuka, imekua 20 mil.
Yenyewe bila $5500 CIF haupati. Na hapo naongelea bettey dogo la 40kWh la iyo range uliosema. Ile ya 62kWh yenye 340km bila $6500 sahau.
Nasubiria 2026.
zipo gari zinazowafaa Suv hybrid zipo tena nyingi ni plug in hybrid
Hahahaha π π π mkuu kwenye huu ulimwengu wa EV ingieni nyie Sisi wengine tutawafata.PureView zeiss acha uchawi.
Huu mwaka ilikua inakuja EV izo hybrid basi tu umasikini ila EV au REEV ndio habari ya mjini.
Sasa napambania Insight au Vezel.
wao hawanunui mafuta so hawawezi fikiria kama kunanamna ya kuokoa pesa. af ejue huwa wananunua risiti za mafuta wapate ganjiππ kuokoa mafuta kwa watumish wa serikali hilo tusahau kabsBasi wachukue waachane na hzo za 5km/l..
kumiliki ev bongo ni lazim uwe na gari mbili maana ukiitegemea hyohyo tuu lazm siku utafeliHahahaha π π π mkuu kwenye huu ulimwengu wa EV ingieni nyie Sisi wengine tutawafata.
Shida ya serikali yetu ni Kodi zake za hovyo....
Mad Max chukua hiyo insight pengine na Sisi wengine tutanunua
Unapatikana wapi tafadhali, au nitumie ujumbe PM natamani tuikague kila mara unishauri. Niko Kimara huku. Ni Harrier hybrid cc 3500, Six cylinders, petrolhongera unagari ambayo hybrid battery yake kufa ni ngum sana na hata ikitokea basi huwa inaua module 4 hadi 8 za block ya kwanza upande wa dereva. zingatia usafi tu hapo seat za nyuma maana inavuta hewa ya kupooza betry miguuni chini ya siti za nyuma utaenjoy mda mrefu sana bila shida za hybrid battery.
Mafundi wazuri tupo sema mtu asiejua kama anatumia gari yatifauti akapeleka kwa wasiozijua lazim itamliza sana
0767333346Unapatikana wapi tafadhali, au nitumie ujumbe PM natamani tuikague kila mara unishauri. Niko Kimara huku. Ni Harrier hybrid cc 3500, Six cylinders, petrol
Wengi itawalazimu kuwa na gari nyingine ya combustion engine ili uweze kuendana na magari ya UMEME maana kuitegemea hiyo gari Kwa safari ndefu ni kujidanganyakingine Ev ni nzuri sana ila hutaweza kwenda nayo mikoani coz hatuna sehem za kuchaji. na ev zenye range kubwa ni 500km per charge na ukiwa masafa range inaweza pungua sababu ya mwendo mkubwa na power utakayokuwa unatumia
Yaaa sure thats why nashauri kwa anaependa zaidi Ev basi ni vizuri achukue Plug in hybrid coz mjini atakuwa nachaji nyumbani na akitaka kusafiri anaweka wese tuWengi itawalazimu kuwa na gari nyingine ya combustion engine ili uweze kuendana na magari ya UMEME maana kuitegemea hiyo gari Kwa safari ndefu ni kujidanganya
Wengi itawalazimu kuwa na gari nyingine ya combustion engine ili uweze kuendana na magari ya UMEME maana kuitegemea hiyo gari Kwa safari ndefu ni kujidanganya
Asante mkubwaAsante sana kwa elimu nzuri hii... Mwenyezi Mungu akubariki na kukiimarisha katika majukumu yako.