Yajue Magari ya Hybrid

Yajue Magari ya Hybrid

kingine Ev ni nzuri sana ila hutaweza kwenda nayo mikoani coz hatuna sehem za kuchaji. na ev zenye range kubwa ni 500km per charge na ukiwa masafa range inaweza pungua sababu ya mwendo mkubwa na power utakayokuwa unatumia
Point sana umeongea. Ni vile serikali imekataa kuonesha ushirikiano kwenye EV ngoja tubaki na hybrid.
 
Wanatumia IMA hybrid tech eeh kama Fit, Grace na Insight.

Hivi in EV mode inaweza tembea km ngapi kabla engine haija-kick in?
IMA hawatumii tena hyo ipo kwenye insight ila fit, vezel, shuttle zote ni full hybrid. Ev pekeake inategemea na mwendo unaitembea na barabara pia kama matumizi ya Ac kwenye Vezel yangu km nyingi ilizotembea nimeona 2km+ hapo nimemaintain 60kmh na ac sijawasha. mda mwingi huwa inachanganya mafuta na umeme
 
Point sana umeongea. Ni vile serikali imekataa kuonesha ushirikiano kwenye EV ngoja tubaki na hybrid.
Labda miaka ya mbele watafikiria kupunguza kodi. but kwa sasa chaguo la ev kwa uchumi wa mtu wa kawaida ni Nissan leaf ambayo unaipata kuanzia 25m kuendelea. ila hii inatoa 200km hadi 280km so Dar to moro unafika ila lazima uchaji ndo urudi dar
 
Asante Sana kwa mada nzuri, labda kwa kuongeza Tu, epuka kupeleka Gari yako kwa Fundi umeme ambaye hatumii mashine kufanya diagnosis ila anatumia tester Ile ya kupigisha shoti.

Mimi ni mdau wa hybrid, natumia Harrier hybrid Una engine KUBWA ila ukiendesha Hii Gari na ukaendesha hizi harrier nyingine za cc 240 utazichukia
 
hongera unagari ambayo hybrid battery yake kufa ni ngum sana na hata ikitokea basi huwa inaua module 4 hadi 8 za block ya kwanza upande wa dereva. zingatia usafi tu hapo seat za nyuma maana inavuta hewa ya kupooza betry miguuni chini ya siti za nyuma utaenjoy mda mrefu sana bila shida za hybrid battery.

Mafundi wazuri tupo sema mtu asiejua kama anatumia gari yatifauti akapeleka kwa wasiozijua lazim itamliza sana
 
Labda miaka ya mbele watafikiria kupunguza kodi. but kwa sasa chaguo la ev kwa uchumi wa mtu wa kawaida ni Nissan leaf ambayo unaipata kuanzia 25m kuendelea. ila hii inatoa 200km hadi 280km so Dar to moro unafika ila lazima uchaji ndo urudi dar
Nilitaka iyo Leaf 2nd gen 2018 mwaka jana ushuru 23 mil nikajua huu mwaka utashuka, imekua 20 mil.

Yenyewe bila $5500 CIF haupati. Na hapo naongelea bettey dogo la 40kWh la iyo range uliosema. Ile ya 62kWh yenye 340km bila $6500 sahau.

Nasubiria 2026.
 
😂😂😂😂😂 nchi yetu kwenye mamb ya green energy haitaki kufikiriq kabisa japo mwaka juzi walisema wanapunguza kodi kwenye hybrid na ev ila hadi sasa naona moto ni uleule tuuu
 
PureView zeiss acha uchawi.

Huu mwaka ilikua inakuja EV izo hybrid basi tu umasikini ila EV au REEV ndio habari ya mjini.

Sasa napambania Insight au Vezel.
Hahahaha 😆 😆 😆 mkuu kwenye huu ulimwengu wa EV ingieni nyie Sisi wengine tutawafata.
Shida ya serikali yetu ni Kodi zake za hovyo....
Mad Max chukua hiyo insight pengine na Sisi wengine tutanunua
 
hongera unagari ambayo hybrid battery yake kufa ni ngum sana na hata ikitokea basi huwa inaua module 4 hadi 8 za block ya kwanza upande wa dereva. zingatia usafi tu hapo seat za nyuma maana inavuta hewa ya kupooza betry miguuni chini ya siti za nyuma utaenjoy mda mrefu sana bila shida za hybrid battery.

Mafundi wazuri tupo sema mtu asiejua kama anatumia gari yatifauti akapeleka kwa wasiozijua lazim itamliza sana
Unapatikana wapi tafadhali, au nitumie ujumbe PM natamani tuikague kila mara unishauri. Niko Kimara huku. Ni Harrier hybrid cc 3500, Six cylinders, petrol
 
kingine Ev ni nzuri sana ila hutaweza kwenda nayo mikoani coz hatuna sehem za kuchaji. na ev zenye range kubwa ni 500km per charge na ukiwa masafa range inaweza pungua sababu ya mwendo mkubwa na power utakayokuwa unatumia
Wengi itawalazimu kuwa na gari nyingine ya combustion engine ili uweze kuendana na magari ya UMEME maana kuitegemea hiyo gari Kwa safari ndefu ni kujidanganya
 
Yaaa sure thats why nashauri kwa anaependa zaidi Ev basi ni vizuri achukue Plug in hybrid coz mjini atakuwa nachaji nyumbani na akitaka kusafiri anaweka wese tu
 
Back
Top Bottom