Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Naunga mkono hoja hapo pa BMW.
Hizo gari engine zake zilikua na tatizo la rod bearing na engine zilikua zikifika rpm kubwa zina blow.
All in all hakuna gari ambayo haina udhaifu.
 
Kama hiyo toyota prius ni pure hybrid car.
Na ni gari la hybrid linaloongoza kwa mauzo duniani kuliko hybrid lolote.
Sasa kisa fundi hajui mfumo wake eti anakwambia bovu gari limeuza sana ulaya na.marekani
 
Kama hiyo toyota prius ni pure hybrid car.
Na ni gari la hybrid linaloongoza kwa mauzo duniani kuliko hybrid lolote.
Sasa kisa fundi hajui mfumo wake eti anakwambia bovu gari limeuza sana ulaya na.marekani
Sure kama hio inatumia umeme zaidi, sasa we ipeleke gereji za wagonga chuma uone.
Kama hawajasema hii gari mfumo wake mbovu unadhani wametengeneza wao
 
Ukweli ni kwamba mafundi wengi wa Tanzania hawataki kusoma na kubadilika, sio magari tu hata electrical, ni majanga sana
 
Mabovu kwa namna gani mbona watu wanayatumia na anaweza kaa nalo miaka na miaka halijamsumbua!! Kuna mshikaji ana hiyo Grand Cherokee hadi sasa ni mwaka wa 7 bado ngoma inadunda balaa.. Sasa najiuliza ni ubovu upi unaousemea?
 
Kitu cha msingi ni namna ya utunzaji wa gari unavyotofautiana kwa mtu na mtu ndio unaoamua uharibikaji wa gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…