Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daihatsu boon umeiacha
[emoji23] nimecheka sana mkuuu kiboko yao L 200 old model
Landcruiser V8. Hizi gari sijui kazisahau wapi. Kwakweli hazifai hata kwa bureee
Duh na last week nlitaka nunua hii,aisee akawahi mtu mwingine,Mungu kaniepusha sio,vipi toyota camidaihatsu boon umeiacha
Mkuu chorokee achana nayo unaweza lipark hata miaka miwili lkn ukija ukiwasha ni kiki moja na kama la petrol linatema maji tuu huko nyuma.utatumia miaka na miaka hufungui engine wala nini ww nikuongeza mji na kufanya serviseMabovu kwa namna gani mbona watu wanayatumia na anaweza kaa nalo miaka na miaka halijamsumbua!! Kuna mshikaji ana hiyo Grand Cherokee hadi sasa ni mwaka wa 7 bado ngoma inadunda balaa.. Sasa najiuliza ni ubovu upi unaousemea?
Mkuu are you serious? Naona FC ipo vizuri, ni kama 1km = 16lt average. Shida tu nadhani yanauzwa ghali sana hayo magari.Kwenye Toyota Prius sio kweli. Mimi naendesha Prius Hybrid ya mwaka 2011, mpaka leo ishatembea miles zaidi ya 200,000. Miles 10 ni km 16. Haina tatizo tazizo lolote, nakwenda nninapotaka. Full tank lita 40 ambazo zinanipa wastani miles 420.
Sasa sijui Prius ipi inayoisema wewe.
RvRRVR au CVR sikumbuki vizuri, lakini zilikuwa zinaitwa kitchen party
Hizi IST labda uwe umebambiwa,nyingi uwa hazina shida,au umemissuse
RVR - walikuwa wakiziita kitchen partyKuna Mitsubishi flani Kama spacio za zamani zilivuma miaka 2002
Nina L 200 mkuu engine D 65 zile special oda za jeshi gar ina mwaka wa ishirini sasa sema lina nipa changamoto sanaL200 hipi hiyo, mbona mimi nina L200 Strada, engine 4D56 nina mwaka unaenda wa tisa huu na sina shida nayo kabisa?
Mbovu siyo kama haitengenezeki bali uhimala wa gari, yana unaweza kuta gari inatembea lakin matatizo chungu zima au linakula elabkila siku kwa matengenezo, kutembea siyo maana ni uzima, watu wanatembea lakin ni wagonjwa mda wowote wanadondoka sembuse gariMabovu kwa namna gani mbona watu wanayatumia na anaweza kaa nalo miaka na miaka halijamsumbua!! Kuna mshikaji ana hiyo Grand Cherokee hadi sasa ni mwaka wa 7 bado ngoma inadunda balaa.. Sasa najiuliza ni ubovu upi unaousemea?
haya yako full electronics, mafundi wasiotumia computer hawayawezi kabisa, ndio maana wanalia lia mabovu.Kwenye Toyota Prius sio kweli. Mimi naendesha Prius Hybrid ya mwaka 2011, mpaka leo ishatembea miles zaidi ya 200,000. Miles 10 ni km 16. Haina tatizo tazizo lolote, nakwenda nninapotaka. Full tank lita 40 ambazo zinanipa wastani miles 420.
Sasa sijui Prius ipi inayoisema wewe.
Mkuu are you serious? Naona FC ipo vizuri, ni kama 1km = 16lt average. Shida tu nadhani yanauzwa ghali sana hayo magari.