mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
haya yako full electronics, mafundi wasiotumia computer hawayawezi kabisa, ndio maana wanalia lia mabovu.
Kama hawaliweki wafute list yote haina maana.Yani sijui wamelisahau vipi hili gari?
siipendi hiyo gari aisee, hata kwa mwonekano tu.Toyota kluger
basi kila gari ni bovu, wabongo bana
Labda ulitaka kumanisha nini hapa! 1 km = 16 Lt? Au Mimi sielewi?!!!?Mkuu are you serious? Naona FC ipo vizuri, ni kama 1km = 16lt average. Shida tu nadhani yanauzwa ghali sana hayo magari.
Kama ndio HV Tanzania hatuwezi kupata mtumba wa Gari. MTU anakaa na Gari miaka 20!!! Hongera kwa kutunza chomboNina L 200 mkuu engine D 65 zile special oda za jeshi gar ina mwaka wa ishirini sasa sema lina nipa changamoto sana
Mkuu hii unafanyia wapi service?
Ubovu wake nncarina Ti
We ndo huelewi..16lt /km..itakuwa rocketLabda ulitaka kumanisha nini hapa! 1 km = 16 Lt? Au Mimi sielewi?!!!?
ni RVR hadi zimepotea mitaani kabisa.RVR au CVR sikumbuki vizuri, lakini zilikuwa zinaitwa kitchen party
Kumbe xtrail nayo kimeo? Maana hii gari ndio nilikuwa naipenda kumbe nayo kimeoNissan Xrail
Unapozungumzia ubovu hapa unamaanisha nini,maana usiwe unanunua gari used ukitegemea litakuwa zima,hilo sahau,gari likishatembea zaidi ya km 80000 hasa gari ndogo jiandae kwa consequences,maana parts nyingi zinakuwa zimeanza kuchoka.Pajero GDI
[emoji23] asante sana mkuuu ishu matunzo haswa body ukiliweks dawa chombo inaonekana kwemye ubora ilitoka kwenye TZJ haf leo chombo ina number A japo ina changamoto za hapa na pale....wazee weng wana kasumba kusema kitu cha kwanza huwa akipigw bei bora kukaa kama ukumbushoKama ndio HV Tanzania hatuwezi kupata mtumba wa Gari. MTU anakaa na Gari miaka 20!!! Hongera kwa kutunza chombo
Hongera sana[emoji23] asante sana mkuuu ishu matunzo haswa body ukiliweks dawa chombo inaonekana kwemye ubora ilitoka kwenye TZJ haf leo chombo ina number A japo ina changamoto za hapa na pale....wazee weng wana kasumba kusema kitu cha kwanza huwa akipigw bei bora kukaa kama ukumbusho