Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Mimi nina Nissan Xtrail tangu 2012 na haijanisumbua zaidi ya tatizo lililotokana na uzembe wangu mwenyewe. Iko pouwaaa na ninaenjoy kila nikiwa nayo
mkuu tujuze fuel consumption yake ipoje. Nazitamani sana hizi.
 
mkuu tujuze fuel consumption yake ipoje. Nazitamani sana hizi.
Mimi gari yangu ina ukubwa wa engine (CC) 2000 na nikitembea mwendo wa kati ya km 80 hadi 120 kwa saa huwa natumia lita 1 kwa km 10 nikienda zaidi ya 120 au chini ya 80 huwa natembea km 7 kwa lita moja. Pia mimi natumia gereji moja kwa matengenezo yote hivo fundi wangu ni mmoja tu na ananishauri vitu vingi kila nikienda matengenezo.
 
Handwriting yako inastahili kutendewa uliyotendewa
 
Asante kwa taarifa mkuu,ngoja nijisubscribe humu humu manake nilikuwa na mpango wa kuagizia chuma cha moto sana,nisije kupigwa change LA macho buree
 
Jaman vip kuhusu SUZUKI GRAND VITARA new model
Ubora wake na ulaj wa mafuta
 
Big up Mkuu mimi ninayo Toyota auris hybrid ya 2011 niliagiza uk huwa nasafiri nayo sana tu full tank nafika mwanza bila kuongeza mafuta, naenda moshi na kurudi dar kwa full tank, mwaka wa pili haijawahi kunisumbua kitu chochote
Hii sheria ya kuondoa road license imekusadia sana.
 
Gari ni utunzaji na Services.... Lakini kuna Gari zinazikuwa zinavumilia mikiki mikiki... Lakini ukizingatia Services, na uendeshaji mzuri..... Inadum Tu..... Mm Nina Volx wagen watu wanaziogopa lakini mm nimedum Nayo
 
Vipi Toyota Rush na Nissan Dualis

Education is the most powerful weapon which you can use to change the world.
By Nelson Mandela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…