Yajue magonjwa kumi hatari zaidi duniani

Hata Malaria ni kwa Nchi za kitropiki tu Ulaya hakuna
Sasa mkuu vifo zaidi ya milioni kwa mwaka ni ugonjwa wa kawaida mkuu kwa vile haupo huko kwa Wazungu ?
 
Kweli we std v, tehe tehe tehe
 
?????
Umeniacha kwenye Mataa.
Rudia kusoma gonjwa kwa gonjwa na neno kwa neno utaelewa vizuri tu mkuu nililitaja kabla hajafa ila kwa sasa siwezi kuzungumzia sababu kimaadili kwa wakati huu sio vizuri
 
Kweli we std v, tehe tehe tehe
Msingi wa elimu ni kujua kusoma,kuandika na kuhesabu

Hivyo elimu yangu ya STD V imenitosha kabisa kupambanua mambo
 
Upo Vizuri ,hayo ndio magonjwa sugu na yamnayouwa duniani.

Umesahau Renal Failure Mkuu
 
Upo Vizuri ,hayo ndio magonjwa sugu na yamnayouwa duniani.


Umesahau Renal Failure Mkuu

Sawa mkuu
Ni vigumu kutaja yote maana lengo ni kukumbushia tu watu kukaa chonjo na hayo magonhwa

Kama ulivyoona pia nilisahau kulipa uzito gonjwa hatari la Kisukari
 
Mzee hizi takwimu za mwaka Gani??? Afu vifo vitokanavyo Na uzazi sio ugonjwa.
 
jamaa hadi tattoo zimesinyaa.
 
Mzee hizi takwimu za mwaka Gani??? Afu vifo vitokanavyo Na uzazi sio ugonjwa.
Ni takwimu za leo mkuu

Hakuna niliposema vifo vitokanavyo na uzazi no ugonjwa

Swali
Ikitokea mwanamke akapoteza damu nyingi wakari wa kujifungua haitwi ni mgonjwa wala hapatiwi matibabu ?

Pia watoto wanaozaliwa na utapiamlo hawapo kundi la wagonjwa ?
 
Kisukari ni hatari kuliko ukimwi
Upo sahihi
Siku hizi magonjwa yasiyoambukiza ndiyo hatari zaidi na yanachangiwa na mabadiliko ua mtindo wa maisha
 
Asante kwa kutujuza.
 
Ukiangalia hayo magonjwa mengi husababishwa na mfumo wa maisha (life style). Kama ambavyo wat hukumbuka kutumia kinga, kujilinda dhidi ya mbu pia watu wakumbuke kuangalia vyakula. Utaratibu wa kula wanga sana (hadi mara 3 kwa siku) watu huishia kupata kisukari. Vile vile matumiz makubwa ya sigara, pombe huweza kusababisha kupata hizo kansa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…