Yajue maisha ya Mbinguni, yana raha isiyo na kifani

Ebu toa kwenye kichwa chako hiyo raha ya mbinguni pasipo kuigizia mistari ya wajinga wenzio
 
Ebu toa kwenye kichwa chako hiyo raha ya mbinguni pasipo kuigizia mistari ya wajinga wenzio
Wewe mwerevu, hiyo keyboard uliyotumia kuandika hiyo comment umeitoa kwenye kichwa chako?
 
Wewe mwerevu, hiyo keyboard uliyotumia kuandika hiyo comment umeitoa kwenye kichwa chako?
Heee wewe lijinga kweli kwahiyo umeileta wewe duniani au imetoka mbinguni??
Wewe ni MBWA tena bora hata huyo mbwa anatoa ulinzi,hivi mwenye akili anaweza kuandika huu ujinga?
 
Heee wewe lijinga kweli kwahiyo umeileta wewe duniani au imetoka mbinguni??
Wewe ni MBWA tena bora hata huyo mbwa anatoa ulinzi,hivi mwenye akili anaweza kuandika huu ujinga?
Duh, hukumbuki hata uliyoyasema kabla. Umeniambia nitumie kichwa kukueleza raha ya mbinguni badala ya kutumia mistari ya wengine. Ndio nikakujibu wewe unatumia keyboard uliyoitengeneza kwa kichwa chako kuandika comment au unatumia iliyotengenezwa na wengine?

Matusi yatakufanya ukose kuurithi ufalme wa Mungu.
1 Wakorintho 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
...
 

Attachments

  • images - 2025-04-07T230052.879.jpeg
    11.8 KB · Views: 26
  • images - 2025-03-15T220722.147.jpeg
    39.8 KB · Views: 24
  • images - 2025-03-15T220952.307.jpeg
    10.9 KB · Views: 20
  • images - 2025-03-15T215904.856.jpeg
    12.7 KB · Views: 27
  • images - 2025-03-15T215638.823.jpeg
    21.4 KB · Views: 20
  • images - 2025-03-15T215427.402.jpeg
    35.2 KB · Views: 23
  • images - 2025-03-15T215338.447.jpeg
    16 KB · Views: 20
  • images - 2025-03-15T215323.875.jpeg
    29.9 KB · Views: 21
  • images - 2025-03-15T215317.529.jpeg
    48.9 KB · Views: 23
..ni vitu vya kusadikika, dini ni njia ya kudhibito watu, ndyo maana serikali inawaweka karibu viongozi wa dini ili iwe ni kolabo ya ku-control watu
 
..ni vitu vya kusadikika, dini ni njia ya kudhibito watu, ndyo maana serikali inawaweka karibu viongozi wa dini ili iwe ni kolabo ya ku-control watu
Subiri uondoke duniani, ndio utajua ni vitu vya kweli, lakini utakuwa umechelewa kuamini.

Watu tunafukuza mapepo na mashetani kwa Jina la Yesu, wewe unasema ni vitu vya kusadikika.

Watu tunapona magonjwa kwa Jina la Yesu, wewe unasema ni vitu vya kusadikika! Pole sana kwa kukaa gizani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…