Yajue Majina ya kichagga na maana zake.

Yajue Majina ya kichagga na maana zake.

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,360
Reaction score
6,069
Aikeli -asante Mungu
Aika* - asante, jina la kike.
Mkunde* -mpendwa, jina la kike.
Elisante - Mungu asante.
Manka*- mtoto wa pili wa Kike,
Mami* - mtoto wa kwanza wa kike.
Asante - maana yake "asante"
Rumishaeli - Tumsifu /msifu Mungu
Eliatosha - Mungu yatosha
Eliamini -
Elioba* - jina la kike

Wenye majina zaidi ya kichagga na maana zake watirike hapa..
 
Ndenga===Probability of (getting or loosing)
 
Back
Top Bottom