Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Watani wangu wachaga ndizi ya kuiva inaitwa Makunduu,wakibosho salamu yao ni Nantombee ,pia Ukoo wa mboro upo na Rombo kuna kijiji kinaitwa Kiboro na kibosho kipo kijiji kinaitwa Boro.kazi kwelikweli
 
Mi hapo kwenye ndizi mbivu kwenye kamusi nimesoma zinaitwa mbirwa
 
Watani wangu wachaga ndizi ya kuiva inaitwa Makunduu,wakibosho salamu yao ni Nantombee ,pia Ukoo wa mboro upo na Rombo kuna kijiji kinaitwa Kiboro na kibosho kipo kijiji kinaitwa Boro.kazi kwelikweli

hapana wameru wanaita ikundu..wapare wanaita mboro
 
Watani wangu wachaga ndizi ya kuiva inaitwa Makunduu,wakibosho salamu yao ni Nantombee ,pia Ukoo wa mboro upo na Rombo kuna kijiji kinaitwa Kiboro na kibosho kipo kijiji kinaitwa Boro.kazi kwelikweli

Kijiji cha Boro-chini, na kijiji cha Boro Kati na Boro Juu! noumer sana
 
VITAMBULISHO VYA URAIA MBEYA Majina Noma Sana! Mpaka Serikali Imeingilia Kati Yabadilishwe. { 1 } Antombile Mwakikuma!
[ 2 ] Amfilile Mwakikundu!
{ 3 } Annyonyile Mwakisimi!
[ 4 ] Amfugile Mwakivuzi!
{ 5 } Ampigile Mwakipumbu!
[ 6 ] Ammwagile Mashahawa!
{ 7 } Ambilikile Mwanyege
 
wewe umeingiza utani kwa wamakonde, ukweli ni kwamba hakuna mmakonde wa Tanzania anatumia majina hayo, wamakonde wanatumia majina ya koo zao, mfano Nandonde, Mahundu, Luwongo, Mniachi, Chilumba, Makumbuli, Nachinguru, Mpwapwa, Mtanda, Mnyambe
,
 
Nasikia 'wagoni wa kuzini' waliwahi kuandamana kupinga serikali kuwachagulia majina ya wanyama.
 
Nasikia 'wagoni wa kuzini' waliwahi kuandamana kupinga serikali kuwachagulia majina ya wanyama.

Pia inasemekana chanzo cha majina ya hawa "wagoni wa kuzini" ni kwa kuwa asili yao ni Africa kusini na waliondoka kuja Tanzania kwa miguu, na kwa kuwa walitumia muda mrefu mpaka kufika kusini mwa Tanzania, huko njiani (porini)walizaliana kwa wingi na mtt alipozaliwa walimpa majina ya wanyama waliokuwa wanakutana nao porini

That's why kuna akina Komba, Mbawala, Litembo, nk,nk,nk,,,,,,,,,,
 
Tangaa kunani paleee eeeh!!!

Wapi Shemkonda, Shemhando, Shekifu, Shekimwaga, Shelukindo, Shetani, Shemwaiko....
 
Hizo sio koo za wahaya, na ukienda uhayani mara nyingi watu hawatumii majina ya koo zao ila majina yao ya kimila wanayopewa utotoni. Ni Rugaimukamu wachache mno ambao wanaundugu wowote. Baadhi ya koo za wahaya ninazozifahamu ni:

Hinda
Nkango

Well said kiongozi.hayo waliyoyatamka ni majina tu na sio ukoo!!
 
Waarusha (hawa wanapatikana sana Arusha mjini na Arumeru magharibi).
1.Mollel
2.Laizer
3.Kivuyo
4.Lukumay
5.Massangwa
6.Mukuti
7.Nanyaro (arusha and meru)
..........Endeleaa
chagga
1.Minja(chaga pare)
2.Muro
3.Moshi
4.Mushi
5.Meela
6.Lyimo
......endeleaaaa.......
 
Back
Top Bottom