Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyamwanga.
Sinkala
Siwale
Sikaonga
Mjenda
kwa wachaga hapo kuna
matemba
shayo
shao
njiro
Hilo kabila zamani lilichukuliwa kuwa ni la washamba kama ambavyo wachaga wa kishumundu wanavyochukuliwa. Lakini ni kabila lililofanyajuhudi kubwa sana za kujiondoa kwenye hiyo hali kwa kujiingiza kwenye biashara na sasa wameuteka mji wa Iringa ndio matajiri wa pale Iringa. Sasa hivi wameisha itawala Karikoo kibiashara. Ni kabila la watu wakimya wasiopenda makuu hata ukiwadharau wao hucheka tu. Wao sio kama wahehe ambao ukimdharau au kumdharirisha tu anachukua kamba na kwenda kujinyonga. Kwa upande wa wachaga wa kishumundu wao kutokana na kudharaulika sana na wachaga wenzao kuwa wao ni washamba, waliamua kupiga shule sana ili kuwatoa kwenye hiyo hali ya kunyanyasika. Kwa sasa wao ndio wasomi wa hali ya juu na wameshika nafasi mbali mbali nyeti zinazohitaji elimu kubwa kama sheria, na mambo ya kimataifa. Nao si wakorofi kama walivyo wakinga! Historia inaonesha kuwa kila mkoa unakuwa na kabila moja au ukoo mmoja ambao hudharaulika lakini hatimaye kabila hilo au ukoo huibuka kidedea na kutawala waliokuwa wakiwadharau. Kama kuna mifano toka mikoa au wilaya mbali mbali endeleeni kuitoa .......jamani mbona WAKINGA hawajulikani kwa nini?hili kabila watu wanalisahau kabisa kwa nini?
Zijue koo za Wairaqw zilitokana na makabila mengine:
Hhay-Karera, Hhay-Mahu, Hhay-Modaha, Hhay-Naman, Hhay-Tsuhhay
Hhay-/Amu, Hhay-Massay, Hhay- Hariohay, Hhay-Harihhindo
Hhay-/Ane, Hhay-Male,Hhay, Matia
Hhay-Bo/a, Hhay-Lolo, Hhay-Lawi
Hhay-Tsakahara, Hhay-Karama, Hhay-Gurti, Hhay-Panga, Hhay-Fara/ay, Hhay-Kirway
Hhay-Manda, (Manda do Bayo)
Hhay-Sule
- Barite,
- Batir-Tsere,
- Batla/ite.
- Bambare
- Gudum
- Habambi
- Tlak/ari,
- Tlawi,
- Mabe,
- Madangi
- Maqway
- Hhuutlemi,
- Wala
Koo nyingine
1. Hhay-Amo
2. Hhay-Ahham
3. Hhay-Axweso
4. Hhay-/alaay
5. Hhay-/awari
6. Hhay-Balohho
7. Hhay-Baqari
8. Hhay-Baynit
9. Hhay-Bee
10. Hhay-Be/i
11. Hhay-Bi/a
12. Hhay-Buay
13. Hhay-Buhha
14. Hhay-Buxay
15. Hhay-Daqaro
16. Hhay-Dale/i
17. Hhay-Diyamay
18. Hhay-Duwe
19. Hhay-/Etlawe
20. Hhay-Fisoo
21. Hhay-Ga/are
22. Hhay-Ge/ay
23. Hhay-Geefi
24. Hhay-Gwaha
25. Hhay-Gwalo
26. Hhay-Gwande/amo
27. Hhay-Gwasma
28. Hhay-Gwau
29. Hhay-Ha/ali
30. Hhay-Hhari
31. Hhay-Hharmi
32. Hhay-Hhayuma
33. Hhay-Ilakwahhi
34. Hhay-Isa/ay
35. Hhay-Karengi
36. Hhay-Lori au Hhay-Slahhay
37. Hhay-Mafa
38. Hhay-Mao
39. Hhay-Masangu
40. Hhay-Na/ali
41. Hhay-Na/ano
42. Hhay-Nakei
43. Hhay-Natse
44. Hhay-Naxi
45. Hhay-Ombay
46. Hhay-Pareso
47. Hhay-Pisi
48. Hhay-Qaday
49. Hhay-Qaymo
50. Hhay-Raantsim
51. Hhay-Rahhi
52. Hhay-Rangi
53. Hhay-Rohho
54. Hhay-Samaytu
55. Hhay-Sangka
56. Hhay-Slahhamay
57. Hhay-Slangay
58. Hhay-Sleegeray
59. Hhay-Sumawe
60. Hhay-Sukum
61. Hhay-Tango
62. Hhay-Tipe
63. Hhay-Tla/e
64. Hhay-Tligay
65. Hhay-Tlangka
66. Hhay-Tlohhay
67. Hhay-Tsaqyo
68. Hhay-Tsere
69. Hhay-Tsii
70. Hhay-Tsoray
71. Hhay-Umbu
72. Hhay-Wa/ari
73. Hhay-Xaday
74. Hhay-Yamay
....Ndg yangu Wanyasa ni Wangoni waliokimbilia Ziwani mara baada ya kupigana vita wenyewe kwa wenyewe..,.Kwa msaada wa NGONYANI MWASI MCHAPI.
kwa wachaga hapo kuna
matemba
shayo
shao
njiro
Hii inasaidia nini? Historia au utalii?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
je, kuna ukoo umeachwa?
hizi ni koo au majina ya wambulu?
vyote!Hii inasaidia nini? Historia au utalii?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums