Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Jamani Wangoni msiwaweke hao si Watanzania, wam,ekuja Juzi tu.
 
Zijue koo za Wairaqw zilitokana na makabila mengine:

Hhay-Karera, Hhay-Mahu, Hhay-Modaha, Hhay-Naman, Hhay-Tsuhhay
Hhay-/Amu, Hhay-Massay, Hhay- Hariohay, Hhay-Harihhindo
Hhay-/Ane, Hhay-Male,Hhay, Matia
Hhay-Bo/a, Hhay-Lolo, Hhay-Lawi
Hhay-Tsakahara, Hhay-Karama, Hhay-Gurti, Hhay-Panga, Hhay-Fara/ay, Hhay-Kirway
Hhay-Manda, (Manda do Bayo)
Hhay-Sule
- Barite,
- Batir-Tsere,
- Batla/ite.
- Bambare
- Gudum
- Habambi
- Tlak/ari,
- Tlawi,
- Mabe,
- Madangi
- Maqway
- Hhuutlemi,
- Wal'a

Koo nyingine


1. Hhay-Amo
2. Hhay-Ahham
3. Hhay-Axweso
4. Hhay-/alaay
5. Hhay-/awari
6. Hhay-Balohho'
7. Hhay-Baqari
8. Hhay-Baynit
9. Hhay-Bee
10. Hhay-Be/i
11. Hhay-Bi/a
12. Hhay-Buay
13. Hhay-Buhha
14. Hhay-Buxay
15. Hhay-Daqaro
16. Hhay-Dale/i
17. Hhay-Diyamay
18. Hhay-Duwe
19. Hhay-/Etlawe
20. Hhay-Fiso'o
21. Hhay-Ga/are
22. Hhay-Ge/ay
23. Hhay-Geefi
24. Hhay-Gwaha
25. Hhay-Gwalo
26. Hhay-Gwande/amo
27. Hhay-Gwasma
28. Hhay-Gwau
29. Hhay-Ha/ali
30. Hhay-Hhari
31. Hhay-Hharmi
32. Hhay-Hhayuma
33. Hhay-Ilakwahhi
34. Hhay-Isa/ay
35. Hhay-Karengi
36. Hhay-Lori au Hhay-Slahhay
37. Hhay-Mafa
38. Hhay-Mao
39. Hhay-Masangu
40. Hhay-Na/ali
41. Hhay-Na/ano
42. Hhay-Nakei
43. Hhay-Natse
44. Hhay-Naxi
45. Hhay-Ombay
46. Hhay-Pareso
47. Hhay-Pisi
48. Hhay-Qaday
49. Hhay-Qaymo
50. Hhay-Raantsim
51. Hhay-Rahhi
52. Hhay-Rangi
53. Hhay-Rohho
54. Hhay-Samaytu
55. Hhay-Sang'ka
56. Hhay-Slahhamay
57. Hhay-Slangay
58. Hhay-Sleegeray
59. Hhay-Sumawe
60. Hhay-Sukum
61. Hhay-Tango
62. Hhay-Tipe
63. Hhay-Tla/e
64. Hhay-Tligay
65. Hhay-Tlang'ka
66. Hhay-Tlohhay
67. Hhay-Tsaqyo
68. Hhay-Tsere
69. Hhay-Tsi'i
70. Hhay-Tsoray
71. Hhay-Umbu
72. Hhay-Wa/ari
73. Hhay-Xaday
74. Hhay-Yamay
 
1. WAGOGO
Mazengo
Nzoboyoyo
Ngobito
Mgongo
Magimbi
Mbumi
Ndugai
Chigoji
Muhumpha
Chitemo
Chitema
Matonya
Manyelezi
Mapuga
Malugu
Chamuhehne
Pelezi
Mchiwa
Malole
Ndejembi
Mando
Chiwande
Chilongani
Chilagane
2. WARANGI
Nuda
Churah
Ntunduma
Sendeu
Idowa
3. WAASI
Mwiru
Mwirwa
Nuddah
4.WAKAGURU
Jaffu
Chilewa
Semwenda
Mnyagatwa
Mbuche
5.WAZIGUA
Lumo
Malika
Dogoli
Seuta
Kihange
Madebe
Kusaka
Bero
Mhando
Bwanguzo
Kigoda
Mbuguni
Hoza
Mndeli
6.WAPARE
Naidhijwa
Mbaga
Ombeni
 
....Ndg yangu Wanyasa ni Wangoni waliokimbilia Ziwani mara baada ya kupigana vita wenyewe kwa wenyewe..,.Kwa msaada wa NGONYANI MWASI MCHAPI.
mmh!! bambo hapo kwenye red nahisi kama siyo kweli..otherwise itabidi nirudi tena kwa bibi yangu mwenye 90yrs anisimulie upya yale masumulizi yake ya asili ya wanyasa.
 
Wanyasa=wanyanja yaani ni lugha tu hapo wamanda ni jamii zilezile za kinyanja zinapatikana zambia,tz,nsumbiji,malawi na kuna eneo kule sauzi kwa madiba mimi mama yangu ni mpoto kilugha chetu kinaitwa kimpoto kina tofauti kidogo na kimanda na pia kina tofauti na kinyasa ambacho ni kinyanja kinachoongelewa malawi,zambia, na msumbiji kidogo ila kimpoto kinaongelewa na jamii fulani kule malawi pia wampoto wanapatikana kuanzia mbambabay (ku-mbamba)hadi lundumati. Wale ndo wanacheza ngoma zinaitwa kioda,mganda,lindeku na madogori kama ya wazaram
well said mkuu,hata mimi familia yangu yenye ukoo wa kina ndonde na mpangala kiasili ni wa maeneo hayo na hata lugha tunazozungumza tukikutana ktk shughuli zetu za kifamilia huku mijini ni pure kimpoto.mfano neno upwaghaa woo=unasemaje.
 
1. WAGOGO
Mazengo
Nzoboyoyo
Ngobito
Mgongo
Magimbi
Mbumi
Ndugai
Chigoji
Muhumpha
Chitemo
Chitema
Matonya
Manyelezi
Mapuga
Malugu
Chamuhehne
Pelezi
Mchiwa
Malole
Ndejembi
Mando
Chiwande
Chilongani
Chilagane
2. WARANGI
Nuda
Churah
Ntunduma
Sendeu
Idowa
3. WAASI
Mwiru
Mwirwa
Nuddah
4.WAKAGURU
Jaffu
Chilewa
Semwenda
Mnyagatwa
Mbuche
5.WAZIGUA
Lumo
Malika
Dogoli
Seuta
Kihange
Madebe
Kusaka
Bero
Mhando
Bwanguzo
Kigoda
Mbuguni
Hoza
Mndeli
6.WAPARE
Naidhijwa
Mbaga
Ombeni

Hivi 'Ombeni' ni ukoo au jina?
 
jamani mbona WAKINGA hawajulikani kwa nini?hili kabila watu wanalisahau kabisa kwa nini?
Na warangi wamesahaulika,Issaka,Ntisi,Kijuu,Sambala,Foka,Nyanganyi,Lubuva,Mkwata,Kova,Mvula,Majala,Mnonu,Sare,Bimbiri,Ndwata,Massengi,Saburi
 
Hizo sio koo za wahaya, na ukienda uhayani mara nyingi watu hawatumii majina ya koo zao ila majina yao ya kimila wanayopewa utotoni. Ni Rugaimukamu wachache mno ambao wanaundugu wowote. Baadhi ya koo za wahaya ninazozifahamu ni:

Hinda
Nkango

Mkuu umenena vizuri! nimewahi kufanya kazi miaka ya nyuma mkoani Kagera. Sikuwahi kusikia ukoo wa: Rugaimukamu, Rweikiza, Buberwa, Rutakyamirwa, Rutabanzibwa nk!
Kuna majina ya koo kama vile: Hinda, Nkango, Wayuzi, Wayango, Waheta, Warwani nk.
 
Na Baba V ni mmoja wao

Ndio Maana yake....

Samaki ndio ana Pande Mbili na zote Huliwa...

Kuna Kabila la Wadaigoni
1. Madenge
2.Kipepe
3.Meko
4.Ndumilakuwili
5.Kobelo
6.Sukununu
7.Lodilofa
8.BobMazishi
9.BabuSani
10.Sokomoko
11.kifimbocheza
12.Pimbi
13.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kabila wanaitwa waikoma wako Serengeti.
Makuru
Nyigoti
Shanyangi
Kora
Magige
Maro
Mosoka
Mturi
Morumbe
Shaweshi
Machota
Marinya
Masamaki
Kumari
Makang'a
Nyamokora
Machabha
Mboi
Makora nk.
 
Wandengereko; Mkumba, Jongo, Mbonde, Kimbeiye, Ngulangwa, Mapande, Mzuzuri, Kambangwa, Mbunda, Matimbwa, Matata, Kimwaga, etc.
 
Waluguru
Kobero
Berege
Josungu
Luanda
Nyawale
Mkoba
Chande
Mkude
Mizambwa
Kinoge
Kihemba
Sabu
Chuma
Wahindi
Dimoso
Mluge
Duzu
Kasongo
 
Waluguru
Kobero
Berege
Josungu
Luanda
Nyawale
Mkoba
Chande
Mkude
Mizambwa
Kinoge
Kihemba
Sabu
Chuma
Wahindi
Dimoso
Mluge
Duzu
Kasongo.
Ongezeaaa
 
wabarbag/wadatoga
Diganyeck
jorojick
barabojick
sararajeck
dudiyeck
barabojick
hilbamanya
hilbanyanqura
hilbagamas
samuhenda
arajick
assecheck
bajut
daremajeck
hilbagirangay
hilbamolmo
mbasanyeck
hilbaqorjan
darorjeck
sarwatt
malleyeck
loqamajeck
geydan
n.k
 
Back
Top Bottom