Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Wazungu British

Woodgate = Geti la Mbao

Smith = Mhunzi

Beckham = Beki mwenye hamu

Campbell = Kengere ya Kambi

Southgate - Gate la Kusini

Mills = Msagaji
 
Wanyakyusa:
Mwakyoma
Mwakibolwa
Mwakatobe
Mwambona
Mwandosya
Mwakalukwa
Mwangosi
Mwaisapile
Mwakilulele
 
Wanyakyusa:
Mwakyoma
Mwakibolwa
Mwakatobe
Mwambona
Mwandosya
Mwakalukwa
Mwangosi
Mwaisapile
Mwakilulele
 
Wanyakyusa:
Mwakyoma
Mwakibolwa
Mwakatobe
Mwambona
Mwandosya
Mwakalukwa
Mwangosi
Mwaisapile
Mwakilulele

Mwakamele
Mwakalindile
Sandube
Mwaipopo
Mwakatobe
Mwaifwani
Mbile
Mwakanema
Mwakalinga
Mwabene
Mwabukusi
Mwakagenda
Mwakalikamo
Mwambegele
Alipipi
Mwakosya
Mwaigomole
Mwasakyeni
Mwangengele
Kapange
Mwasakafyuka
Mwakapugi
Mwakabwale...
 
Wameru
.Kaaya
.Mbise
.Pallangyo
.Ndosi
.Mafie
.Sumari
.Isangya
.Sarakikya
.Nanyaro
.Mangusha
.Mboro
.Nkuku
.Kitoi
.Kiborony
.Ayo
.Kiwandai
.Soori

Mkuu umenigusha. Njoo upate mbege mbili ushushie na kitalolo, ngararumu na rosholoo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwampagata
Mwaituka
Mwakabibi
Mwashitete
Mwachanga
WAGOGO
Mavunde
Malugu
Madelemu
Chinyele
Chikoti
Chimwi
Chilangazi
Maloda
Magaji
Mundo
 
Wameru
.Kaaya
.Mbise
.Pallangyo
.Ndosi
.Mafie
.Sumari
.Isangya
.Sarakikya
.Nanyaro
.Mangusha
.Mboro
.Nkuku
.Kitoi
.Kiborony
.Ayo
.Kiwandai
.Soori

Mkuu, hili jina la 7 kutoka chini, naomba ufafanuzi japo kwa ufupi.
 
WAHAYA:
Mutabingwa.
Mutalemwa.
Mutafungwa.
Mutayoba.
Mutakimbizwa.
Mutashikwa.
Mutachapwa.
 
Mimi haya majina na koo vinanichanganya sana,mfano kuna jina kama CHILEWA ili lipo kwa WANGONI na WAKAGURU,jina kama MBENA linapatikana kwa WALUGURU,WAKWERE na WAHEHE/WABENA,kuna jina kama MSAGARA lipo kwa WAKAGURU, WAZIGUA,WANGUU na WASAGARA,nini hasa chanzo cha muingiliano huu?
 
Wahehe:

Mwamkwawa
Mwangalalekumtwa
Mwangailevanu
Mwamaliga
Mwamagida
Mwambululu
Mwakatefu
Mwamdalingwa
Mwakulyakwave
Mwamtisi
Mwalumato
Mwalalika
Mwakitalika
Mwakalinga
Mwamfilinge
Mwamalangalila
Mwakibiki
Mwamsola
Mwakafuko
Mwakihwele
Mwamtove
Mwakagali
Mwamlawa
Mwamyinga
Mwamgalama
Mwamaliva
Mwampoma
Mwamdagasenga
Mwanyakunga
Mwakivelegi
Mwaludoga
Mwamwihava
Mwawahe
Mwafilipatali
Mwamwifuna
Mwamogofi
Mwakikao
Mwakitundu
Mwakitosi
Mwakikoti
Mwambuma
Mwakasavaga
Mwalihweuli
Mwakindole
Mwamwagala
Mwalunyungu
Mwafivavo
Mwamufwalingundi
Mwamfugale
Mwalwisa
Mwakiyeyeu
Mwakibasa
Mwamuyumbo
Mwakitang'ala
Mwakilo
Mwang'aala
Mwamgonasipapune
Mwamgonapasi
Mwamgendwa
Mwamwenga
Mwafilipamwambu
Mwalukuvi
Mwamaleva
Mwakadinde
Mwambulunge
Mwamlomo
Mwakivike
Mwamponzi
Mwamyovela
Mwakivuyo
Mwanyagava
Mwamnyawami
Mwamkusa
Mwamdede
Mwamdemu
Mwachodota
Mwangombe
Mwangubi
Mwakagubi
Mwamwindi
Mwaduma
Mwambata
Mwamahingila
Mwakabonge
Mwang'umbi
Mwachoga
Mwamtono
Mwampiluka
Mwakamonga
Mwamzena
Mwambilikila
Mwaludago
Mwangela
Mwamwenda
Mwatosi
Mwaluhala
Mwambugi
Mwamhehe
Mwamgabe
Mwakivenule
Mwamteleke
Mwakitime
Mwakitundu
Mwanzalawahe
Mwakunzugala
Mwalwimbo
Mwachumi
Mwamhwagila
Mwamgimwa
Mwamtafya
Mwamatafi
Mwampogole
Mwakinyamagoha
Mwakutika
Mwamfalamagoha
Mwachang'a
Mwalwisa
Mwamhapa
Mwasalila
Mwamkalanga
Mwamayagila
Mwakisinini
Mwamsumule
Mwanzigilwa
Mwakavindi
Mwakilyenyi
Mwakivambe
Mwaluvanga
Mwamabiki
Mwamkiva
Mwamoyo
Mwampinge
Mwanyali
Mwamtatikolo
Mwangoti
Mwabangi
Mwalusooko
Mwachatila
Mwachonya
Mwalihaya
Mwakanyika
Mwakisinda
Mwamduda
Mwamtung'e
Mwamvala
Mwangoti
Mwamponda
Mwafivavo
Mwamgata
Mwamdindile
Mwakangalawe
Mwamasonda
Mwampagike
Mwanzema
Mwachahe
Mwalyuvale
Mwamtilega
Mwamhumba
Mwakisonda
Mwamkakanzi
Mwakiliwa
Mwamsombe
Mwamyenzi
Mwamadenge
Mwasarufu
Mwalugusi
Mwakimbe
Mwachavala
Mwamsambichaka
Mwaking'unza
Mwakilovoko
Mwamdalingwa
Mwamselu
Mwanganung'a
Mwanyitala
Mwakisapi
Mwasulle
Mwasombe
Mwakisasa
Mwakasilo
Mwamwipopo
Mwatagalile
Mwamhamilawa
Mwambigili

Mwanyenzi



Majina haya kwa mila na desturi za Kihehe ni Majina ya Kiume kwasababu yameanza na MWA...... Ili yawe ya Kike ondoa MWA anza na SE.... Mfano na hili la mwisho SENYENZI ukitaka iwe Neutral name Ondoa MWA na SE mfano jina la mwisho = NYENZI

Mwingine aendeleze tafadhali
 
Wambugwe:
- Mombe
- Mosweri
- Mosongo
- Mosalo
- Monarya
- Monjare
- Mofulu
- Maijavile
 
Wajepu au wajapani

Tanaka

Suzuki

Honda

Takauchi

Kumemoto

Inamoto

Sho Kosugi

Kanyamavi

Kayashika

Pia Kuna Niga Huko Marekani anajiita Kanye West
 
Wajepu au wajapani

Tanaka

Suzuki

Honda

Takauchi

Kumemoto

Inamoto

Sho Kosugi

Kanyamavi

Kayashika

Pia Kuna Niga Huko Marekani anajiita Kanye West
kwenye red rekebisha umejikosesha spelling makusudi kabisa.

KumamotoMap.jpg
 
Wasukuma...
Mabula
Masanja
Magembe
Masunga
...........
endeleeeni ma Ngosha the Don King
Hii kitu Nuri sana hii: Kabila la wahehe lilianzishwa mwaka 1850: Wahehe; Wanaume "Mwagitu" Wanaweke "Se gitu" Mwamoto, Kindole, Mnyikumbi, Mwakimwage, Kuvea, Kitungwi, Kiyeyeu, Mwalukami, muhigo, Mtage, Mhenga, Mnosi, Mnyigumba, Mgimwa, Sapi, Mwangubi, vikabila vya kihehe wadongwe, wanyandovlelwa, wakimbu, wasungwa, wapangwa, wavanji, wanyandovelwa, vawanji,. Miwelwa, Ngao na Lupembe, 1855 alizaliwa Mkwawa, mtoto wa kwanza wa mnyigumba, Kilema ganga, Mhenga, Mwambambe, Mvange mvanzisha vidunda mlipano mtikapangonde, Mtwa Mkwava, Mkwavinyika, mnyigumba Mwamuyinga, Mutwa Mahinya Mwiganga, Ilimwiganga, Mkali kuva gosi, Ku va dala Tage matenengo.
 
Mi naanzisha zogo!-wapemba?waunguja? wakusini?wakaskazini?waafrika?washirazi?wadonge?
minishangae huku twatambuana utokako kabila kamuulize baba ake babu yako!na ukimpata ndo mulemule -nyamwezi ,makonde ,ndengereko,zigua,(wakurya-inasemekana wamakunduchi ndio asili yao ndio maana na wao wako wengi katika majeshi na wanayo majina ya mwita!)
 
kwenye red rekebisha umejikosesha spelling makusudi kabisa.

KumamotoMap.jpg

Mkuu Pole Pole sometime unaweza kula ban bila ya kukusudia ndio nilijikosesha kusudi ili isijetokea bahati mbaya nikapewa ban kimakosa....


Jiulize tuko wangapi kikwete keshatoa jibu tupo million 45 na ushee
 
Wasukuma
-Magulu
-Mahenda
-Masalakulangwa
-Masanagulilo
-Budebah
-Mabirika
-Madirisha
-Nyango
-Sibitari
-Sengerema
-Rupia
-Masalu
-Nhumbu ya Ng'wana
-Mpejiwa
-Chalahani
-Kalangalika
-Buswelu
-Nyanda
-Sahani
-Tagambaga
-Makaranga
-Bupilipili
-Nkonoki
-Ng'hoboko
-Nkwabi
-Kipambalu
-Pono
-Ngedere
-Shigela
-Masele
-Kidaha
Wanyamwezi
-Kiyungi
-Sizya
-Kalunde
-Maganga
-Sigela
-Masele
-Msuluzya
-Mkina
-Katwila
-Katwiga
-Mchemba
-Madundo
 
Back
Top Bottom