Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Superman mambo vipi arifu.
Endeleza mshikamano wa kitaifa, mambo ya makabila hayana mashiko wakati huu wa kuoana toka makabila mbalimbali.
Mfano babu yangu mzaa baba ni mchaga, wakati mke wa babu ni mhaya. Baba anaitwa Rugaimukamu Kimario.
Mama yangu anaitwa Kabula Mabula. Hivyo Mimi naitwa Mabula Rugaimukamu Kimario.
Mke wangu anaitwa Atu Lusajo.
Mwanangu anaitwa Lusajo Mabula Rugaimukamu Kimario.
Mwanangu Sekela Lusajo kaolewa na M-australia Ed Smith.
Mjukuu wangu Atu Sekela Ed Smith. Sijui atakuwa wa ukoo au kabila gani.
TZ ina makabila 129 yaliyo hai ni 128 na 1 halimeshatoweka au li karibu kutoweka kwa kukosa wazungumzaji wakeWana JF;
Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo yaliyo Common?
Ngoja nijaribu kufungua Dimba:
- Tafadhali naomba tusaidiane kutaja majina mbalimbali ya Ukoo kwa kila Kabila na vile vile tuendeleze listi hii hadi yafike makabila 126.
hapa nadhani mleta mada hakumaanisha ukabila, nilichomuelewa ni tujaribu kuelimishana kuhusu makabila yaliyopo nchini kwetu na koo zake, sio watu wote wanayafahamu makabila hayo na pia sio wote tunaofahamu koo za makabila yetu. kwa kweli sijaona ukabila hapa
jamani mbona WAKINGA hawajulikani kwa nini?hili kabila watu wanalisahau kabisa kwa nini?
inaonekana wahehe SIO KABILA
Superman mambo vipi arifu.
Endeleza mshikamano wa kitaifa, mambo ya makabila hayana mashiko wakati huu wa kuoana toka makabila mbalimbali.
Mfano babu yangu mzaa baba ni mchaga, wakati mke wa babu ni mhaya. Baba anaitwa Rugaimukamu Kimario.
Mama yangu anaitwa Kabula Mabula. Hivyo Mimi naitwa Mabula Rugaimukamu Kimario.
Mke wangu anaitwa Atu Lusajo.
Mwanangu anaitwa Lusajo Mabula Rugaimukamu Kimario.
Mwanangu Sekela Lusajo kaolewa na M-australia Ed Smith.
Mjukuu wangu Atu Sekela Ed Smith. Sijui atakuwa wa ukoo au kabila gani.
mollel - hawa ni waarusha
kaaya - hawa ni wameru
nlemi - sio nlemi ni mremi
minja
mushi