Yajue makundi manne ya dawa za kulevya & madhara yake

Mkuu asante kwa somo.

Watu wakishaanza kutumia madawa ya kulevya hawaachi kwa sababu yanajenga uraibu.

Hapo kwenye vileta njozi peyote na mescaline ni kitu kimoja ikimaanisha mimea jamii ya cactus au opuntia(mafurahishamkundu).

Pia hiyo LCD kwa usahihi ni LSD
 
Nilitumia vileta njozi na vichangamsho, lkn niliacha baada ya kunusurika ukichaa.

Nipo salama huu no mwaka wa tano tangu niache kutumia hizi dawa.
Huu uyoga nitaupataje mkuu? Au unafananaje maana huku kijijini kuna mauyoga mengimengi sasa sijui ni upi
 
Ni hatar sana
 
Hapo kwenye cocaine hata Pablo Escobar alimuhusia mwanae asiguse wala yeye mwenyewe hakuwahi Kutest'!
 
ujumbe umefika
 
Kwahiyo pombe iko kundi moja na powder?? Huwezi kuwa serious [emoji847][emoji847]
 
Tujuzane aina mbalimbali za dawa za kulevya,ziwe zenye hatari kubwa au ndogo,madaraja yake,kwa nini zingine zipigwe marufuku na zingine zipewe onyo na zingine ziachwe tu? Kama kuna mimea inayolevya ipo ijulikane tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…