Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Energy drink na kahawa nayo ni madawa ya kulevya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama wewe unasumbulia na wasi wasi na mawazo lazima uchague specific plant to deal with ndio maana kule uholanzi bangi ni kama sigara tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Zote zina compoud ya caffeine so hazina tofauti na tumbaku na mirungi zote ni CNS stimulant sema mirungi ni mild stimulant kwahiyo ni kali kuliko hizo nyingineEnergy drink na kahawa nayo ni madawa ya kulevya?
Spma vizuri kuhusu VICHANGAMSHO utapata jibu.Energy drink na kahawa nayo ni madawa ya kulevya?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Sasa kama wewe unasumbulia na wasi wasi na mawazo lazima uchague specific plant to deal with ndio maana kule uholanzi bangi ni kama sigara tu
Tobacco ina nicotine ambayo unaweza kuchanganya pamoja paracetamol ukapata dawa nzuri ya mauviZote zina compoud ya caffeine so hazina tofauti na tumbaku na mirungi zote ni CNS stimulant sema mirungi ni mild stimulant kwahiyo ni kali kuliko hizo nyingine
Na wewe unatumia ipi? ApoKemikali yoyote au mchanganyiko ambao huleta mabadiliko ya kihisia na ufahamu ni dawa za kulevya.
Matumizi ya dawa za kulevya huleta utegemezi na usugu.
Utegemezi ni hali ya kushindwa kuishi maisha ya kawaida mpaka utumie dawa ya kulevya. Utegemezi huo huwa wa kisaikolojia na kiafya.
Kuna makundi manne ya dawa za kulevya
1. VIPUMBAZA
Vipumbaza ni aina ya dawa za kulevya ambazo hupunguza kasi ya ufanyaji kazi wa mfumo wa ufahamu. Mfano wa dawa hizi ni;
_ Pombe
_ Heroin
_ Mandrax nk
Unapotumia vipumbaza;
_ Kasi ya ufanyaji kazi wa mfump wa ufahamu hupungua.
_ Mapigo ya moyo hupungua.
_ Shinikink la damu hushuka
sana.
_ Kiwango kidogo huleta furaha
kubwa.
_ Kiwango kikubwa huleta
kizunguzungu, kuongea kwa
kuvuta ulimi, matendo yasiyo
ya busara, kuchanganyikiwa,
ubongo kushindwa kuratibu
mifumo mbalimbali ya mwili.
2. VICHANGAMSHO.
Hizi ni dawa za kulevya zinazoongeza kasi ya ufanyaji kazi wa mfumo wa fahamu.
Mfano wa dawa hizi ni;
_ Mirungi
_ Nicotine
_ Vidonge vya kupunguza hamu
ya kula.
_ Cocaine
_ Caffeine nk
Dawa hizi husababisha yafuatayo;
_ Kuongezeka kwa mapigo ya
moyo.
_ Ubongo kushindwa kuendesha
mifumo ya fahamu.
_ Kutokulala
_ Wasiwasi nk.
3. VILETA NJOZI.
hizi ni aina ya dawa zinazosababisha mtumiaji kuona maono au kusikia vitu visipokuwepo. Mfano wa dawa hizi ni;
_ Bangi
_ Uyoga (peyote, mescaline,
psilocybin)
_ LCD
Unapotumia vileta njozi mambo yafuatayo huonekana;
_ unasikia na kuona vitu
visivyokuwepo.
_ Kujiona unapaa.
_ Kuongezeka ukubwa wa
mboni ya jicho.
_ kubadilisha utambuzi nk
4. VIYEYUSHI.
Aina mbalimbali ya kemikali ambazo mvuke wake huweza kutumika kama kilevi. Mfano wa dawa hizi ni!
_ Petrol
_ Dawa za kuuwa wadudu
_ Dawa za kuondoa rangi za
kucha
_ Dawa za ganzi kama Nitrous
oxide, Propane, butane,
helium nk.
Matumizi ya viyeyushi husababisha yafuatayo;
_ Kuumwa na kichwa
_ Ongezeko ia hisia na
mwanga
_ Kupata njozi
_ Kizunguzungu
_ Mwili kukosa nguvu na hats
kuzimia nk
MADHARA (kijamii)
Watumiaji hukosa busara na umakini maishani hivyo kusababisha;
_ Magomvi na wazazi na
wanandoa.
_ Kushindwa kutunza familia
_ Ujambazi
_ Mauaji ya kikatili
_ Wizi nk
MADHARA (kiuchumi)
_ Kupungua kwa nguvu kazi
kwenye familia na taifa.
_ Kutumika vibaya kwa
rasilimali za familia na taifa
ktk kuwatibu waathirika.
_ Hasara itokanayo na uharibifu
wa Mali unaofanywa na
waathirika (ajali, fujo nk)
MADHARA (kiafya)
Utumiaji wa dawa za kulevya huambatana na matatizo mengi ya kiafya kama;
_ Saratani ya mapafu na damu
_ Kupungua kwa uwezo wa
damu kuchukua hewa (oxygen)
_ Kuharibika kwa mfumo wa
fahamu kunakoambatana na
ukiziwi, kichaa, kupungua
uwezo wa kukumbuka na
kufikiri, luppoza nk.
Pamoja na madhara hayo kwanini watu hawaachi kutumia dawa za kulevya?
Nawasilisha.
Naona mfamasia umeingia kazini.Tobacco ina nicotine ambayo unaweza kuchanganya pamoja paracetamol ukapata dawa nzuri ya mauvi
Mirungi ina cathinione inaweza kutumika kama euphoric effect kwa wazee na vijana ambao wako na mistress
Coffee ina caffeine pia unaweza changanya pamoja na paracetamol na asprin kwaajiri ya maumivu
Chocorate ina theobroma inaweza tumika kama dawa ya pressure ya kushuka(hypotension)
Huwa nahuzunika sana pale ninaposikia kila kitendo kibaya kinahusihwa na matumizi ya mihadarati saa nyingine huwa nikatabia tu kamtu moja mjinga mjingaNaona mfamasia umeingia kazini.
Nilitumia vileta njozi na vichangamsho, lkn niliacha baada ya kunusurika ukichaa.Na wewe unatumia ipi? Apo
Saws mkuu.Huwa nahuzunika sana pale ninaposikia kila kitendo kibaya kinahusihwa na matumizi ya mihadarati saa nyingine huwa nikatabia tu kamtu moja mjinga mjinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *****
Ndo hivyo dingi akawa dogo janjaBaba yake akawa dogo!!? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Uyoga ni huuhuu au ni neno la kupunguzia makali kitu kingine kama "dawa" kwa cannabis? Kama ni uyoga kweli, nao imekuwaje uingizwe ktk kundi hili wakati ni mlo tu wakawaida?Ndio niliwahi tumia uyoga mara moja ila cannabis naipenda sana japo situmii kila siku
Kuna uyoga aina nyingi sana upo hadi unatumika kutibia kikohozi ila huu niule wa mambo spiritual awake (recreational)psilocybin mushroom pia inajulikana kama psychedelic mushroom psilocybin mushrooms include Copelandia, Gymnopilus, Inocybe, Mycena, Panaeolus, Pholiotina, Pluteus, and Psilocybe. Over 100 species are classified in the genus Psilocybe. Psilocybin na hiyo ndio chemical compound yake ukila hiyo ni hatari euphoric yake na wamefanya uchunguzi hivi karibuni kuwa haina addictionUyoga ni huuhuu au ni neno la kupunguzia makali kitu kingine kama "dawa" kwa cannabis? Kama ni uyoga kweli, nao imekuwaje uingizwe ktk kundi hili wakati ni mlo tu wakawaida?
Vipi, unapatikana hapa nchini? Na kama upo utautambuaje?Kuna uyoga aina nyingi sana upo hadi unatumika kutibia kikohozi ila huu niule wa mambo spiritual awake (recreational)psilocybin mushroom pia inajulikana kama psychedelic mushroom psilocybin mushrooms include Copelandia, Gymnopilus, Inocybe, Mycena, Panaeolus, Pholiotina, Pluteus, and Psilocybe. Over 100 species are classified in the genus Psilocybe. Psilocybin na hiyo ndio chemical compound yake ukila hiyo ni hatari euphoric yake na wamefanya uchunguzi hivi karibuni kuwa haina addiction
Hapo sasa hadi uwe na mtaalam ila ipo kama unakumbuka zamani tulikuwa tunaambiwa usiwe unashika uyoga hovyo hovyo utapotea nyumbani nadhani kwetu pia unapatikana kama zipo aina 100 haiwezi kukosekana hata tanoVipi, unapatikana hapa nchini? Na kama upo utautambuaje?