Yajue makundi manne ya dawa za kulevya & madhara yake

Lakini umesoma kuhusu madhara yake he huwezi kuacha kuitumia kabla haijakudhuru?

Nakushauri achana nayo.
Cannabis side effects
.Red eye ambayo ni tiba kwa macho inaleta njaa nzuri kwa wasiokuwa na hamu ya kula inaleta usizingizi nzuri kwa wale wenye mawazo inazuia uzalishaji wa mafuta mwilini kwa kiwango kinachohitajika nzuri kwa wanao sumbuliwa na kisukari
Sijaona side effect mbaya hapo
 
Kwa hiyo unashauri watu walewe pombo?
Hapana si shauri watu wanywe pombe ila kwa utashi wako mwenyewe kama unataka kunywa haina shida maadamu haikupi madhara ya moja kwa moja

Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa pombe na haijawai kuniletea madhara yoyote naitumia kama kiburudisho
 
Jaribu basi kupima na kupata ushauri wa daktari Mara kwa mara, usikae tu ukijipa matumaini kwamba upon sawa.

Ni ushauri tu.
 
Eti unajiona unapaa utasababisha watu watest aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bangi mbaya sana wakati tupo O'level kuna jamaa alivuta alivyorudi nyumbani kwao akawa anamuambia baba yake we dogo haujambo?
Baadaye ilivyomuisha kichwani nikamuuliza hivi ukivuta unajisikiaje akasema kwanza watu wote anawaona wadogo kama sisimizi halafu anapata raha ya ajabu. Akienda kulala anaona kama kitanda kinapaa hivi [emoji23] [emoji23] .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *****
 
Cannabis side effects
.Red eye ambayo ni tiba kwa macho inaleta njaa nzuri kwa wasiokuwa na hamu ya kula inaleta usizingizi nzuri kwa wale wenye mawazo inazuia uzalishaji wa mafuta mwilini kwa kiwango kinachohitajika nzuri kwa wanao sumbuliwa na kisukari
Sijaona side effect mbaya hapo
Inatumika kwa ushauri wa daktari.
Watumiao bila ushauri wa daktari ndio hao mateja

Kama hauumwi kidonge cha nini?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bangi mbaya sana wakati tupo O'level kuna jamaa alivuta alivyorudi nyumbani kwao akawa anamuambia baba yake we dogo haujambo?
Baadaye ilivyomuisha kichwani nikamuuliza hivi ukivuta unajisikiaje akasema kwanza watu wote anawaona wadogo kama sisimizi halafu anapata raha ya ajabu. Akienda kulala anaona kama kitanda kinapaa hivi [emoji23] [emoji23] .
Baba yake akawa dogo!!? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Inatumika kwa ushauri wa daktari.
Watumiao bila ushauri wa daktari ndio hao mateja

Kama hauumwi kidonge cha nini?
Sasa mie natumia kwasababu hapa bongo doctor gani atakuandikia dawa kama bangi utibu msongo wa mawazo na wasi wasi alafu bangi sio addictive na hakuna aliewahi kuwa overdose kwenye bangi sio kama paracetamol ukizidisha tu lazima ukione
 
Nenda Mental Health Clinic iliyo karibu nawe, utapata ushauri mzuri kuhusu matumizi ya bange kuponya msongo wa mawazo na wasiwasi.
 
Back
Top Bottom