Nilikuwa naomba nimlekebishe kidogo mleta uzi huu
Kwenye namba tatu ameweka bangi lakini haipo kwenye class hiyo ngoja niweke sawa.
Bangi au cannabis hii ni dawa ya majani na maua ya cannabis sativa au Bangi kama ivyozoeleka hii ipo kwenye class ya psychoactive kutokana na compound ya THC (tetrahydrocannabinol) compound ya bangi kwa ujumla inatwa cannabinoids ambazo zilizo gunduliwa ni 100 na kidogo na zipo kama 400 ambazo hazija ngundliwa bado kazi zake ila katika bangi THC ndio pekee ambayo ni psychoactive nyingine zote sio ninaposema psychoactive inamaana ya dawa inayoact direct kwenye ubongo na kuleta zile burudani kuna compound ni halali hutumika kwa nchi kama america hii inaitwa CBD (Cannabinol) haina effect kwenye ubongo ila wakati mwingine THC inaact kwenye sperm cell na uterus kwaajiri ya kuweka mambo sawa kwenye sector ya usafi na usalama wa maeneo hayo.
Kuna hii nyingine inaitwa psychedelic, psychedelic drugs include mescaline, LSD, psilocybin, and DMT hivi zinatumika kwa spiritual purpose na kazi yake nyingine ni kuondoa addiction ya pombe na nicotine wale wazee wa sigara na ugoro hata CBD(cannabinoid) inafanya kazi hii.
Na zinatofauti kubwa tu hizi class za dawa.