Yajue makundi ya vyakula pamoja na faida za kula chakula bora

Yaani ukifuta ushauri wa afya, unaweza kuacha kula kila kitu. Maana kwingine unaambiwa wanga inaongeza uzito wa mwili ambao utakusababishia magonjwa yasiyoambukiza kama vile BP, hapa unaambiwa usipokual wanga uatakufa mapema, sasa lipi ni lipi!!!!
 
Kabisa ni kama hawa wataalam wanapingana katika tafiti zao....huyu akisema hiki mwingine anampinga kiaina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…