Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi mafuta huwa yanakatwa na nini mkuu?Hii kitu kuifatilia ni ngumu kama jiwe!
Heri nibaki zangu gym ninyanyue machuma weee nijenge kifua na kukata fat!
Hiyo chakula ni full time job aisee!
Sio rahisi kiivyo!
kula kiafya yani, weka uwiano sawa wa makundi ya vyakula muhimu katika sahani yako, wanga, protini, mafuta, na madini hiyo ndo njia pekee nyingine zinauwalakiniVizuri.
Hivi Ni vyakula vipi vinafaa kwa mtu km Mimi ninayehitaji kuongeza mwili kiasi ambavyo havina madhara kwa afya
Sky Eclat
Ndizi mbichi, mbegu za mchicha ingawa huku kwetu si nyingi mabogaMama, nimefanikiwa kuacha vyakula vya wanga ingawa nyama bado natumia, shida ni mbadala wa hivyo vyakula ukiondoa hivyo vyakula ulivyoorodhesha ambavyo ni shida kuvipata nn kingine unaweza kutumia tusema hebu tuwekee hapa mfano wa milo mitatu ambayo mtu anaweza kutumia kwa b/fast, lunch na jioni visivyo na wanga na na nyama
Mungu akikujalia kasome makala na shuhuda za miaka ya 18's ya bwana William Banting
Kusudio ni idea za vyakula kwa wanao katibu kuepuka nyama na wanga. Mayai ni tofauti na nyama ingawa vyote vina protini.
hivi mafuta huwa yanakatwa na nini mkuu?
mafuta hayakatwi kwa kupiga vyuma labda kwa mazoezi ya wepesi ambayo yatapelekea kupungua na kufanya mwili utumiue mafuta yalohifadhiwa, mafuta hayaungwuzi kirahisi
Nyama na wanga yanaifanya damu yako iwe rahisi kukaribisha magonjwa.
Pia vinahitaji muda na pesa, huwa Nina freeze vegetablesNi kweli mkuu!
Ila vyakula hivyo katika maisha ya kawaida kupangilia ni another fulltime job!
Ninachofanya ni kupunguza amount na kunyanyua vyuma na kusukuma treadmill kadiri ninavyoweza kuyeyusha!
Tuwekee picha madam tupate challengePia vinahitaji muda na pesa, huwa Nina freeze vegetables
Mungu akubariki sana dokta. Nilikuwa naitafuta sana hiyo diet.
umeeleza vyema ila akiba ya mafuta kwenye gari huwa inatumika pindi mafuta yalokusudiwa kuendesha gari kuisha na si vinginevyo, Mafuta ni sukari iliyobadilishwa ili iweze kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadae undapo mwili utapungukiwa nguvu na mtu hajapata chakula kwa muda mrefu, mafuta huanza kurudishwa katika mfumo wa sukari na kutumika tena, na ndo maana mtu akikaa kwa njaa muda mrefu ananza kupukutika maana mwili unatumia akiba yakwanza ambayo ni mafuta.Bro
Fat inaondolewa kwa mazoezi mazito na kujenga muscles!
Inatakiwa power kubwa ku-burn zile fat na hapo hapo kujenga muscles!
Piga vyuma kisawasawa then kapime fat ratio uone!
Shida ni kwamba watu hawapendi kunyanyua vitu vizito!
Weight ya maana ni kila kitu mzee!
Haidanganyi ile!
Mtu una ma-Fat ya kutosha mwilini halafu unaniambia yanaondoka kwa kufanya mazoezi ya ku-dance?
Fat inahitaji too much energy to remove them!
😂😂😂😂😂😂😂kwa milo hii choo hakiwezi jaa kwa kweli na tisu haziwezi isha hivyo matumizi ya maji yatapungua na fedha mfukoni inaweza kuwepo.
swali mbona mnaofanya diet mkichanga kwenye harusi hamruki kitu kwenye bufeeeeeee!
😂😂😂kwa sisi watoto wa kiswahili bila wali au ugali sijui kama kutalalika na hasa hiyo sahani namba nne lazima tuwe na imani kipo kingine kinakuja na hiyo ni apetaiza!