Yajue makundi ya vyakula pamoja na faida za kula chakula bora

Yajue makundi ya vyakula pamoja na faida za kula chakula bora

Naona mayai (kuku nyama) protini na mahindi(wanga). Sijaelewa kusidio lako ni lipi hasa?
Kusudio ni idea za vyakula kwa wanao katibu kuepuka nyama na wanga. Mayai ni tofauti na nyama ingawa vyote vina protini.
 
Daaahhh, nimekumbuka bana, nilivaaga sana katambuga hadi nilipofika darasa la 5 Mwl wa darasa alipoanza kutukazania tununue viatu tuachane na katambuga, ndio nikanunua.
Katambuga ndiyo mpango mzima, jua mvua, umande all weather
 
Hii kitu kuifatilia ni ngumu kama jiwe!

Heri nibaki zangu gym ninyanyue machuma weee nijenge kifua na kukata fat!

Hiyo chakula ni full time job aisee!

Sio rahisi kiivyo!
Nyama na wanga yanaifanya damu yako iwe rahisi kukaribisha magonjwa.
 
Nifahamishe jina ya hizo mboga zilizochanganywa na mlo wenye nanasi tafadhali.
 
Back
Top Bottom