Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Hivi kuna viumbe vina masharti mengi ya kuvitunza ili visiondoke kama wanaume wa bongo? Yaani wanaume wa bongo ni zaidi ya njiwa kwa kweli.
[emoji3][emoji3][emoji3]

Nakusalimia tu...... Mambo?
 
Njiwa ni kama pambo tu madam wanafurahisha kuwatizama.
Pia hata kuchija siku nilikuwa nikiamua nawaambia waandae mafuta tu nachinja 10+ wanawakaanga ni watamu sana.
Kuliko hata kuku huyu anataka mipaja ya kuku wa kienyeji[emoji23]
 
Nimepata kusikia njiwa pia hutumiwa katika kusafirisha bidhaa haramu, anabebeshwa na anaruka nazo "to a desired destination." Achilia mbali huku kwetu ambapo watu hufuga njiwa kwa ajili ya mambo ya kiimani/kishirikina.

Utasikia anatakiwa njiwa mweusi au mweupe au wa bluu nk, kwa ajili ya mambo ya kishirikina na hapo ndipo wafuga njiwa hupata kipato kikubwa kuliko wafuga kuku🤣🤣
 
Hivi kuna viumbe vina masharti mengi ya kuvitunza ili visiondoke kama wanaume wa bongo? Yaani wanaume wa bongo ni zaidi ya njiwa kwa kweli.

Maneno yako anti yanakata kama kisu, aiseee!!🤣🤣
 
Nimepata kusikia njiwa pia hutumiwa katika kusafirisha bidhaa haramu, anabebeshwa na anaruka nazo "to a desired destination." Achilia mbali huku kwetu ambapo watu hufuga njiwa kwa ajili ya mambo ya kiimani/kishirikina.

Utasikia anatakiwa njiwa mweusi au mweupe au wa bluu nk, kwa ajili ya mambo ya kishirikina na hapo ndipo wafuga njiwa hupata kipato kikubwa kuliko wafuga kuku[emoji1787][emoji1787]
Yah mweupe anauzwa had 30k
 
Sasa hawa ni watu, ndege, mizimu au mashetani? Tabu yote ya nini kuchukua tahadhari kama rubani wa bombadier kisa ndege? Waifu au jirani akizingua nivunge tu kisa njiwa? Yani nafundishwa adabu na njiwa?
 
Yaani kwa kifupi hawapendi kudukuliwa wanaha mtandao kama inavyo wakuta kampuni furani hapo bongo kwa kuuza siri za wareja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee unafundiahwa ustaarabu
Sasa hawa ni watu, ndege, mizimu au mashetani? Tabu yote ya nini kuchukua tahadhari kama rubani wa bombadier kisa ndege? Waifu au jirani akizingua nivunge tu kisa njiwa? Yani nafundishwa adabu na njiwa?
 
Maneno yako anti yanakata kama kisu, aiseee!![emoji1787][emoji1787]
Ukweli unauma ila ndo ukweli mchungu huo muupokee tu hivyo hivyo hata kama ni ngumu kumeza au nimedanganya?
 
Back
Top Bottom