Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,428
Tunaweza kurekebishana pia.Mengine kweli, mengine umepuyanga,
basi taflani tupu mtaani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaweza kurekebishana pia.Mengine kweli, mengine umepuyanga,
basi taflani tupu mtaani!
5:Ukifuga Njiwa nao hufatilia nyendo zako,ukiwa mlevi hawakai wanaondoka.Vurugu na kelele hawapendi.
Wacha weeee......mbali sanaaa kuleWea ayuuu wea ayuu wea ayuuu njiwaaa....njiwa njiwaa[emoji445][emoji445]
Kwa sababu ukiwa mlevi utakua na fujo na makelele watakosa utulivu[emoji23]Mkuu ninaweza kukubali hoja zote lakini hiyo hapo ninahitaji ufafanuzi wa kina, kwani vipi pombe anywe mwingine yeye njiwa imuhusu vipi??!![emoji13]
Jirani yako kaniambia anafuga njiwa ila haya masharti sidhani kama anayajua ngoja nimtag ayasome HB wa kigogoWea ayuuu wea ayuu wea ayuuu njiwaaa....njiwa njiwaa[emoji445][emoji445]
Nimeshawahi kufuga njiwa sana. Nilifikisha mpaka zaidi ya mia moja. Karibu yote uliyoandika siyo kweli.1:Kwanza kabisa Njiwa ukiwanunua kwa mtu,sharti wawe wawili pair (dume na jike).
2:Kama muuzaji aliwafuga kwa banda la juu,hakikisha unakowapeleka uwaandalie banda la juu,ukiwaweka banda la chini wanaondoka.
3:Kama banda lako la chini,tafuta muuzaji mwenye banda la chini ndipo ununue vinginevyo unashauliwa uwanyonyoe manyoya na kuwafungia siku 40 kabla ya kuwafungulia.
4:Njiwa wakiwa mbele yako usipende kuwajadili,hawapendi masimango wataondoka!.
5:Ukifuga Njiwa nao hufatilia nyendo zako,ukiwa mlevi hawakai wanaondoka.Vurugu na kelele hawapendi.
6:Njiwa wana nguvu kiimani,hawapendi mfugaji awe Mmbea,kugombana na majirani.Kwa sababu wakatika wa ugomvi Njiwa hukaa juu ya Paa wakisikiliza halafu huondoka na hawarudi tena.
7:Njiwa hawapendi kuona umechinja Njiwa mwenzao mbele yao,wakiona wanahama wote kwa sababu wanahisi utawachinja.
8:Njiwa hawapendi makelele ya kushtukiza kama honi kali,kuwarushia jiwe na miziki mikubwa.Ukifanya hayo wanahama.
9:Njiwa akifa mmoja,huomboleza.Unashauliwa umtafute mwenza haraka kwa Njiwa anaebaki la sivyo wanaondoka/kuondoka.
10:Hakikisha Njiwa huwachanganyi na kuku mwenye vifaranga,wakiparuliwa huondoka mazima.
11:Njiwa wanaofugwa banda la Uani/nyuma/
jikoni huzaliana haraka zaidi kwa sababu ya mazingira tulivu.
12:Hakikisha Pakashume hawazoei kufika nyumbani kwako!.Njiwa hawapatani na Paka pori la sivyo wanahama wote!
13:Inasemekana Njiwa ni wa pili kwa wivu baada ya Nyegere..
Nakumbuka mbali sana nimuonapo njiwa,aliimbwa wakati huo nafaidi muziki,aliimbwa wakati uleee katika igizo la kidedea,kina tabia na jengua.....
Ewe njiwa,ewe njiwa peleka salaaamu.....
Way too far,i waa able to hear.
Kwa sababu ukiwa mlevi utakua na fujo na makelele watakosa utulivu[emoji23]
Njiwa wako overrated kama serikali ya awamu ya tano.1:Kwanza kabisa Njiwa ukiwanunua kwa mtu,sharti wawe wawili pair (dume na jike).
2:Kama muuzaji aliwafuga kwa banda la juu,hakikisha unakowapeleka uwaandalie banda la juu,ukiwaweka banda la chini wanaondoka.
3:Kama banda lako la chini,tafuta muuzaji mwenye banda la chini ndipo ununue vinginevyo unashauliwa uwanyonyoe manyoya na kuwafungia siku 40 kabla ya kuwafungulia.
4:Njiwa wakiwa mbele yako usipende kuwajadili,hawapendi masimango wataondoka!.
5:Ukifuga Njiwa nao hufatilia nyendo zako,ukiwa mlevi hawakai wanaondoka.Vurugu na kelele hawapendi.
6:Njiwa wana nguvu kiimani,hawapendi mfugaji awe Mmbea,kugombana na majirani.Kwa sababu wakatika wa ugomvi Njiwa hukaa juu ya Paa wakisikiliza halafu huondoka na hawarudi tena.
7:Njiwa hawapendi kuona umechinja Njiwa mwenzao mbele yao,wakiona wanahama wote kwa sababu wanahisi utawachinja.
8:Njiwa hawapendi makelele ya kushtukiza kama honi kali,kuwarushia jiwe na miziki mikubwa.Ukifanya hayo wanahama.
9:Njiwa akifa mmoja,huomboleza.Unashauliwa umtafute mwenza haraka kwa Njiwa anaebaki la sivyo wanaondoka/kuondoka.
10:Hakikisha Njiwa huwachanganyi na kuku mwenye vifaranga,wakiparuliwa huondoka mazima.
11:Njiwa wanaofugwa banda la Uani/nyuma/
jikoni huzaliana haraka zaidi kwa sababu ya mazingira tulivu.
12:Hakikisha Pakashume hawazoei kufika nyumbani kwako!.Njiwa hawapatani na Paka pori la sivyo wanahama wote!
13:Inasemekana Njiwa ni wa pili kwa wivu baada ya Nyegere..
Nakumbuka mbali sana nimuonapo njiwa,aliimbwa wakati huo nafaidi muziki,aliimbwa wakati uleee katika igizo la kidedea,kina tabia na jengua.....
Ewe njiwa,ewe njiwa peleka salaaamu.....
Way too far,i waa able to hear.
[emoji23]aiseee mapingamizi meengiNimeshawahi kufuga njiwa sana. Nilifikisha mpaka zaidi ya mia moja. Karibu yote uliyoandika siyo kweli.
Hahaha we mtu bwanaAhaaaa, basi ungesema specifically kwamba njiwa hawapendi fujo hapo ingetosha mkuu.[emoji1787][emoji1787]
Watu tunafuga Njiwa sokoni, halafu useme penye kelele hawakai, labda njiwa wako.
Njiwa wako overrated kama serikali ya awamu ya tano.
hamna ukweli wowote hapo ni pumba na mashudu.
Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Njiwa wako overrated kama serikali ya awamu ya tano.
hamna ukweli wowote hapo ni pumba na mashudu.
5,6,7 na 12 tu ndio ya kweli1:Kwanza kabisa Njiwa ukiwanunua kwa mtu,sharti wawe wawili pair (dume na jike).
2:Kama muuzaji aliwafuga kwa banda la juu,hakikisha unakowapeleka uwaandalie banda la juu,ukiwaweka banda la chini wanaondoka.
3:Kama banda lako la chini,tafuta muuzaji mwenye banda la chini ndipo ununue vinginevyo unashauliwa uwanyonyoe manyoya na kuwafungia siku 40 kabla ya kuwafungulia.
4:Njiwa wakiwa mbele yako usipende kuwajadili,hawapendi masimango wataondoka!.
5:Ukifuga Njiwa nao hufatilia nyendo zako,ukiwa mlevi hawakai wanaondoka.Vurugu na kelele hawapendi.
6:Njiwa wana nguvu kiimani,hawapendi mfugaji awe Mmbea,kugombana na majirani.Kwa sababu wakatika wa ugomvi Njiwa hukaa juu ya Paa wakisikiliza halafu huondoka na hawarudi tena.
7:Njiwa hawapendi kuona umechinja Njiwa mwenzao mbele yao,wakiona wanahama wote kwa sababu wanahisi utawachinja.
8:Njiwa hawapendi makelele ya kushtukiza kama honi kali,kuwarushia jiwe na miziki mikubwa.Ukifanya hayo wanahama.
9:Njiwa akifa mmoja,huomboleza.Unashauliwa umtafute mwenza haraka kwa Njiwa anaebaki la sivyo wanaondoka/kuondoka.
10:Hakikisha Njiwa huwachanganyi na kuku mwenye vifaranga,wakiparuliwa huondoka mazima.
11:Njiwa wanaofugwa banda la Uani/nyuma/
jikoni huzaliana haraka zaidi kwa sababu ya mazingira tulivu.
12:Hakikisha Pakashume hawazoei kufika nyumbani kwako!.Njiwa hawapatani na Paka pori la sivyo wanahama wote!
13:Inasemekana Njiwa ni wa pili kwa wivu baada ya Nyegere..
Nakumbuka mbali sana nimuonapo njiwa,aliimbwa wakati huo nafaidi muziki,aliimbwa wakati uleee katika igizo la kidedea,kina tabia na jengua.....
Ewe njiwa,ewe njiwa peleka salaaamu.....
Way too far,i waa able to hear.
6,7 na 12 tu ndio ya kweli
Mengine yote uwongo mmemezeshwa. Nilishafuga. Hata sasa nikitulia nitafuga tena. Hizo ni ngonjera za vijiweni.