Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Tatizo mmekariri ujasusi ni maslahi ya taifa, la hasha ujasusi ni kama kazi ya kupata hela ili kujikimu kimaisha na kuwaandalia watoto wako na si wajirani maisha baada ya wewe kufa.ISI hamna kitu..pakistan is a corrupted country intelligence yao hamna kitu kk..inaweza hata kuzidiwa na TISS[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo tuite Chama jf Kuna burudani [emoji23] [emoji23]TISS wamejaa Makada wa Chama, wala usiliite Shirika!
TISSHivi la nchini kwetu linaitwaje vile??
Jiandae kupelekwa mabwepandeTISS
NSA ni la nchi gani?CIA na FBI wanaweza kukaa mbele ya NSA,sema CIA ni inahusika na mambo ya foreign
Kwani hawa majasusi wetu ndio wanapeleka watu mabwepande?kwa comment hii Mkuu Bora ujipeleke mabwepande mwenyewe, kabla hata hawajakufata....
TISS wamejaa Makada wa Chama, wala usiliite Shirika!
Mimi simoKwani hawa majasusi wetu ndio wanapeleka watu mabwepande?
Maana nasikia hiyo ni kazi ya kile chama kinachoongozwa na matukio.
Huwa wanafanya hivyo ili wapate matukio ya kupiga kelele majukwaani na kuandamana
Zinafanana ila FBI inadili na usalama wa ndani CIA inadili na masuala ya mambo ya njeFBI na CIA wanafanya kazi zinazofanana?
Wamerakani hamna kituyote sawa
Asante mkuuZinafanana ila FBI inadili na usalama wa ndani CIA inadili na masuala ya mambo ya nje
Hivi la nchini kwetu linaitwaje vile??
Yupo sahihi Russia ni FSB hiyo SVR ipo ndani ya FSB ni special branch inayoshughulika na foreign intelligency na espionage kama vile CIA walivyo na SAD katika kutekeleza covert operations na MOSSAD walivyo na KIDONHapo kwa RuSsia sio FSB ni SVR
Kwa Donald Trump ndio baba lao wooote, kuanzia CIA, FBI, MI, GIA etcNSA ni la nchi gani?
hawa NSA ndo usalama wa taifa wa US,Kwa Donald Trump ndio baba lao wooote, kuanzia CIA, FBI, MI, GIA etc
hao ndo wazee wa data,cybesecurity na cyberwarfare wanaoperate ndani na nje ya marekani,NSA ni la nchi gani?
under certain occassion FBI wanaweza kuoperate hata nje ya marekani ,wao wanadeal sana na mambo ya kihalifu,FBI anaweza kamata mtu yeyote anaevunja sheria ya marekani hata CIa anaweza kuswekwa ndani na FBI,Zinafanana ila FBI inadili na usalama wa ndani CIA inadili na masuala ya mambo ya nje