koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Mkurugenzi wa FBI anateuliwa na nani?under certain occassion FBI wanaweza kuoperate hata nje ya marekani ,wao wanadeal sana na mambo ya kihalifu,FBI anaweza kamata mtu yeyote anaevunja sheria ya marekani hata CIa anaweza kuswekwa ndani na FBI,
na pia hata Rais provided mwanasheria mkuu katoa ok kwa maandishi,
mkurugenzi wa FBI Hawezi futwa kazi na rais,kwahiyo hafanyi kazi kwa utashi wa rais bali anafuata sheria,
director wa FBI ana mhula wa miaka kumi kama sikosei ndo anaweza kutoka na kuteuliwa mwingine