Yale mabehewa ya SGR ya ngazi mbili yapo wapi? au tulishapigwa na kula hasara?

Yale mabehewa ya SGR ya ngazi mbili yapo wapi? au tulishapigwa na kula hasara?

Kitchener

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
13,833
Reaction score
27,753
Kwa wapenzi wa kupanga train ya mwendo kasi, kuna mabehewa fulani tulitunua kwa kodi za wananchi, tukatumia garama kubwa kusafirisha toka korea hadi hapa, ila sijaona yakitumika. Zipo fununu kwamba hayakuwa compatible, tunataka kujua why not compatible? yapo wapi? mazima au walituletea yasiyofaa? hiyo hasara ni ya kwetu au ya kwao? kipi ni kipi? ufahamisheni umma.
 
Back
Top Bottom