Yale mambo ya zama za Magufuli zimerudi tena kwa kasi: Bora tumefungwa

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama...

Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!"

Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA KUCHANGIA MWENGE WA UHURU...

ILI MRADI TU NA YEYE MAMA AZUNGUMZIWE NA ATUKUZWE KWENYE MICHEZO...AKAJIFANYA KILA GOLI MARA MIL 5 na MIL 10.

We dont talk of football...we talk about a mere mil 5 na 10 eti za mama...

Toa bajeti ya pesa kugharamia project ya soka nchi kuzalisha vipaji nchi nzima...we will mention you...sio unataka umaarufu na umashuhuri mwepesi kisiasa...eti just mil 10 tu vijana watashinda mechi.

I HATE POLITICS... POLITICS DESTROY EVERYTHING WHEN ENTER.
 
Huu ujumbe umejaa maumivu na hisia kali sana kuhusu future ya taifa hili, watanzania tunateseka kupita kiasi
SIASA INAHARIBI KILA KITU IKIINGIA...SIASA NI MBAYA...

HIVI MAMA...KUNA LOLOTE AMEFANIKISHA LA KUWANUFAISHA WATU WA KAWAIDA...UKATAJA UKAMSIFIA...? ZAIDI YA KURIDHISHA MASLAHI YA WANASIASA TU AKINA MBOWE,ZITTO NA LEMA...
 
WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama...

Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!"

Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA KUCHANGIA MWENGE WA UHURU...

ILI MRADI TU NA YEYE MAMA AZUNGUMZIWE NA ATUKUZWE KWENYE MICHEZO...AKAJIFANYA KILA GOLI MARA MIL 5 na MIL 10.

We dont talk of football...we talk about a mere mil 5 na 10 eti za mama...

Toa bajeti ya pesa kugharamia project ya soka nchi kuzalisha vipaji nchi nzima...we will mention you...sio unataka umaarufu na umashuhuri mwepesi kisiasa...eti just mil 10 tu vijana watashinda mechi.

I HATE POLITICS... POLITICS DESTROY EVERYTHING WHEN ENTER.
Kuna ubaya akitoa ahadi ya Fedha kwenye gari? Kwani wewe unakatazwa?
 
SIASA INAHARIBI KILA KITU IKIINGIA...SIASA NI MBAYA...

HIVI MAMA...KUNA LOLOTE AMEFANIKISHA LA KUWANUFAISHA WATU WA KAWAIDA...UKATAJA UKAMSIFIA...? ZAIDI YA KURIDHISHA MASLAHI YA WANASIASA TU AKINA MBOWE,ZITTO NA LEMA...
Wewe uko Nchi gani? Matajiri ndio wananufaika na mambo haya? 👇
20230327_131653.jpg

Hapa unaongea Kwa msukumo wa wivu na chuki tuu zisizo na maana.

Labda nikuulize Mwendazake alifanya kipi Cha kusaidia watu Maskini/Wanyonge unisadie Kwa Hilo ili twende vizuri.
 
Timu icheze hovyo asingiziwe aliyetoa ahadi ya kuwatuza walifanya vizuri,hapo si Kuna chuki binafsi?

Hata ukisema Bora tumefungwa wewe unakuwa na maumivu sehemu 2,Moja ya Timu kufungwa na pili ya chuki Kwa waliojitolea kuituza Timu na kusifiwa in case Timu ingeshinda 🤣🤣
 
WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama...

Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!"

Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA KUCHANGIA MWENGE WA UHURU...

ILI MRADI TU NA YEYE MAMA AZUNGUMZIWE NA ATUKUZWE KWENYE MICHEZO...AKAJIFANYA KILA GOLI MARA MIL 5 na MIL 10.

We dont talk of football...we talk about a mere mil 5 na 10 eti za mama...

Toa bajeti ya pesa kugharamia project ya soka nchi kuzalisha vipaji nchi nzima...we will mention you...sio unataka umaarufu na umashuhuri mwepesi kisiasa...eti just mil 10 tu vijana watashinda mechi.

I HATE POLITICS... POLITICS DESTROY EVERYTHING WHEN ENTER.
Mwalimu on the flick
 
Mi nilisha sema politicians wa TZ Wamebeba laana za ubadhilifu wa mali za umma.. Wakiingilia mambo ya msingi lazima yabume
 
WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama...

Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!"

Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA KUCHANGIA MWENGE WA UHURU...

ILI MRADI TU NA YEYE MAMA AZUNGUMZIWE NA ATUKUZWE KWENYE MICHEZO...AKAJIFANYA KILA GOLI MARA MIL 5 na MIL 10.

We dont talk of football...we talk about a mere mil 5 na 10 eti za mama...

Toa bajeti ya pesa kugharamia project ya soka nchi kuzalisha vipaji nchi nzima...we will mention you...sio unataka umaarufu na umashuhuri mwepesi kisiasa...eti just mil 10 tu vijana watashinda mechi.

I HATE POLITICS... POLITICS DESTROY EVERYTHING WHEN ENTER.
Naunga mkono hoja
 
SIASA INAHARIBI KILA KITU IKIINGIA...SIASA NI MBAYA...

HIVI MAMA...KUNA LOLOTE AMEFANIKISHA LA KUWANUFAISHA WATU WA KAWAIDA...UKATAJA UKAMSIFIA...? ZAIDI YA KURIDHISHA MASLAHI YA WANASIASA TU AKINA MBOWE,ZITTO NA LEMA...
Wanaendelea pale alipoachia JPM
 
Unatutonesha vidonda vya TOZO
Umieni tuu kwani tozo inaenda kutumika Marekani? Kwanza chini ya 30,000 ambako Kuna watu maskini hakuna tozo..

Mnahangaika na chuki binafsi ambazo Wala hazitawasaidia kubadili lolote..

Kazi ya tozo umeniona hapo kwenye jedwali? Na badi Kuna tozo ya mafuta imefanya wonders kwenye Barabara Vijijini..
 
Back
Top Bottom